Oi [emoji16][emoji16]Kwani uwongo .. mwanaume ndio ni bora kuliko mwanamke kama
Aliyeandika huu uzi ni mwanaume inasikitisha sana
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Tuwape mda tutatoa tathimini kwa walichofanya 2025Umemwingiza mzungu by default tu,hoja yako ilikuwa kuhusu kina mama. Mimi binafsi naamini kina mama ni wa kuchunga sana. Mf Samia na Tulia hawana uwezo kwenye hizo nafasi. Kuna nafasi ni nyeti hatuwezi kupeana kama sadaka.
Tayari Samia kasharudisha uchifu na wizi wa kula kwa urefu wa kamba. Tulia kashasema rais hakoselewi. Kuna nini hapo
Muda gani wakati wameshaonyesha makucha? 2025 tutafanya tathmini ya hasara tuliyokula kwenye huu uwekezaji
Kwenye uongozi wanawake huwa wanatafuta Ili kulipiza visasi vya kumkomoa mwanaume na sio kuleta ukombozi,rejea ishu ya Mbowe sijui walikwaruzana wapi.Umemwingiza mzungu by default tu,hoja yako ilikuwa kuhusu kina mama. Mimi binafsi naamini kina mama ni wa kuchunga sana. Mf Samia na Tulia hawana uwezo kwenye hizo nafasi. Kuna nafasi ni nyeti hatuwezi kupeana kama sadaka.
Tayari Samia kasharudisha uchifu na wizi wa kula kwa urefu wa kamba. Tulia kashasema rais hakoselewi. Kuna nini hapo
Na huu ni ukweli ulio mchungu mno,kuna yeyote anaweza kunitajia nchi ingalau 5 zinazoongozwa na watu weusi na nchi hizo zinafanya vema kiuchumi,demokrasia etc etcMwafrika anapenda rushwa na ufisadi
Hapaswi kuaminiwa kupewa nafasi yenye mamlaka kipesa.
Ona hapa Bongo tunavyowaibia waajiri wetu, na waajiri wanavyotuibia waajiriwa
umegusa penye mshono kabisaaaaaa. Hata issue ya Ndugai ni hilo tu. Tunao maofisini wengi tu.Kwenye uongozi wanawake huwa wanatafuta Ili kulipiza visasi vya kumkomoa mwanaume na sio kuleta ukombozi,rejea ishu ya Mbowe sijui walikwaruzana wapi.
Mwanamke bosi ofisini ukitaka kumfitinisha na mbaya wako hasa mwanaume mwambie huyu mwanaume anakudharau kisa wewe ni mwanamke atashughulikiwa hadi ofisi aione chungu.
Wanaamini Sana umbea wa kuambiwa Ili waufanyie kazi
Wewe kama hutaki huo ubaguzi, basi pambana kwanza na yule aliyetubagua tangu awali kwa misingi ya jinsia zetu! Yaani kwa nini tusiitwe kwa jina moja tu? Mfano Binadamu! Kinyume na hapo, basi ujue umeleta mada ya kutafuta huruma pasipo na sababu ya msingi.Ubaguzi ni kitu kibaya pale ambapo jamii moja uamini ni bora kuliko jamii nyingine kama ilivyo kwa mzungu kuamini anastahili kuongoza kila kitu duniani kwani ngozi nyeusi ina laana"wana amini hivyo"
Akili hizo zipo pia kwenye jinsia mwanamme anaamini yeye ni bora anayeatahili kutawala kila kitu duniani huku wakimlazimisha mwanamke kubaki jikoni akipika,,,waafrika tungejifunza kitu hapa hii tabia ya jamii moja kuibagua jamii nyingine ni siasa inayotengenezwa kwa kipindi kirefu ili kuua vipaji na maono ya jamii nyingine.
Mwafrika anaweza kuongoza shirika lolote duniani na likafanikiwa!! Hivyo wazungu si kila kitu
Hivyo hivyo kwenye jinsia wanawake wanaweza kuongoza taasisi yoyote na ikafanikiwa hivyo mwanamme kuamini yeye ndo kila kitu haina mashiko
Facts tupu umeongeaUmemwingiza mzungu by default tu,hoja yako ilikuwa kuhusu kina mama. Mimi binafsi naamini kina mama ni wa kuchunga sana. Mf Samia na Tulia hawana uwezo kwenye hizo nafasi. Kuna nafasi ni nyeti hatuwezi kupeana kama sadaka.
Tayari Samia kasharudisha uchifu na wizi wa kula kwa urefu wa kamba. Tulia kashasema rais hakoselewi. Kuna nini hapo
Kuandika hapa kunanizuia kuchapa kazi? au tuseme mbona wewe unashiriki nasi badala ya kuchapa kazi?Badala tujikite kuchapa kazi!! Tunalalamika eti mwanamke kaongoza!! Mwafrika anadhihirisha ni dhaifu