Mpemba swafi
Member
- May 18, 2008
- 10
- 0
Mmekosa hoja nini wapinga ukweli,
Hamna aliyekosa hoja.
Tupo kamili
Ujumbe tumefikisha,kazi kwenu,wooote mmeupata.
Hamna aliyekosa hoja.
Tupo kamili
Ujumbe tumefikisha,kazi kwenu,wooote mmeupata.
Neah,
nimesomea nuclear and space engineering!
Hawezi ku spell ulicho kiandika hapo. Achana nae mjomba huyo.
mwafrika unajua tatizo moja hawa wabaguzi walileta hoja zao zisizo kichwa wala miguu wakidhania kwamba watu watawaangalia tu. Siku zote mjue kwamba mkileta hoja za kipumbavu tutazipinga na mtajiandikisha na majina hata 100 na mtukane mpaka mchoke lakini ukweli utabaki pale pale kuwa nyinyi ni MAGOIGOI WA KIFIKRA. Pumba zenu hazina nafasi katika jamii yetu.
Hapa nilipo mimi nimekamata chupa ya pili ya pepsi nikishuhudia explosions!
Upo kwenye super-collider particle accelerator nini MWK?
Humu watu sijui wanaongea nini....?
Virtual insanity is taking over......
Hi Wakuu
Ninasikitika sana,jamii hii ya JF,kuna baadhi ya watu wamekuwa wakitumia nafasi zao kubishabisha,na kukashfu hoja za msingi na mifano halisi ya ubaguzi wachache tuliyobahatika kuushudia ktk jamii yetu ya kitz.
Kipande nilichowapa ni ukweli niliushuhudia mimi mwenyewe,na si hadithi ya kuleta uchonganishi hapa JF.
Ni vigumu sana,kwetu sisi watz kutoa ushahidi wa kukamilisha hoja ya kibaguzi,nimejitahidi kuwaaelezeni ukweli hasa,wa ubaguzi niliouona kwa macho yangu,lakini kuna watu fulani,kwa kulinda maslahi ya wahusika,wanatuita wachonganishi,si jambo jema.Ni hatari sana kwa jamii kama yetu,kukosa haja ya kuhoji ukweli kwa hoja na kuibishia tuuu,ilihali hata ukibisha hakuna atakayekuhoji.
Hapa twapaswa kupiga vita wanaobagua wenzao,na si kupinga waleta mada.
Members,hoja na vipande vyote nilivyoleta hapa ni vya kweli,labda nilulize mnataka nithibitishe vp?waliyafanya haya nawajua kwa majina na sura zao,na bado wapo hai,na wana nafsi zao,sasa nifanye nini?au nanyi hamnitakii mema?Niwawezeshe vp sasa?
Didn't the SMZ project enough political willingness and an amicable gesture by having Sepeku and Mwakanjuki in its top ranks? In not revoking the 99 year lease by the colonial Churches in Zanzibar? Do we really want to base political appointments on geographical / religious affiliation?
Mkuu Pundit!
Mimi hapa ndipo panapo nisikitisha! Wasifiwe kwa kuweka token figures? Wasifiwe kwa kutimiza wajibu wao? Kwani kwenye hiyo misikiti hakuna title? Na kila title ina muda wake. Mbona hatuwapongezi kwa kutokufuta title hizo muda wake ukiisha? Au Zanziba wana freehold? Kwamba watu wanamiliki ardhi in perpetuity!
Kuheshimu mikataba ya kikoloni ni utawala bora na si fadhila. Kenya na Uganda wamekuwa wakiuziana umeme kufuatana na mikataba iliyoingiwa wakati wa ukoloni. Hili wazo la kwamba serikali ya mapinduzi inawafanyia fadhila raia wake wakristu ndiyo symptoms ya mawazo ya kibaguzi. Anayefanyiwa fadhila mara zote ni yule ambaye hana stahili kama wenzake. Ni second class citizen.
Hoja ya msingi ya wakina Mukombosi na wenzake kuwa wakristu hawatendewi haki Zanziba ina ukweli ndani yake. Tatizo lao wameiingiza kwa kutumia lugha ambayo hao wanaowatuhumu ndio wangetumia. Lugha ya kibaguzi. Lugha ya kukomoana. Hii haikuwa sahihi. lakini msimtupe mtoto na maji aliyoogea!
Fundi,
Hoja ilikuwa siyo sana kwamba wakristo wanafanyiwa fadhila kama ilivyokuwa kwamba wakristo minority wanayo a minority representation huko Zanzibar unlike the presented argument.
Unless tulitaka watu walio less than 5% wawe na a disproportinately large representation which defies logic na inarudi kwenye hiyo phenomena ya "Microsoft Word Dilemma" na "Point of Diminishing Return" kama nilivyoeleza hapo juu.