Mkuu sasa hapo unakosea...sasa unamaana kama wapo wachache hawana haki ya kushika nyadhifa na kuwaongoza waislam huku Zenj???hapo watu wanadai usawa kama wanavyo dai hapo Pemba wanadai usawa kama Unguja...
Wana JF naona mnamshambulia mukombosi kama mpira wa kona.
Siamini kama kuna kiumbe amabacho bado hakiamini kuwa wazenj + baadhi ya waislamu ni wabaguzi.
Kuleni basi kijipande cha muhogo dume hapo chini:
"Tukiwa ndani ya chaguzi moja maarufu hapa tanganyika(dodoma),kati ya wagombea wote,wagombea wawili tuu(mmoja muislamu na mwingine mkristo) walikuwa tishio(kupata ushindi) pale ukumbini,wakati kampeni za mwisho mwisho zinawadia pale ukumbini,mgombea mmoja kati ya wale wawili(muislamu) aliona ngoma inakuwa nzito ikabidi aanze kucheza rafu,mtu mzima huyu bila aibu aliwaaendea wale wapiga kura toka zenj na kuwanong'oneza na kusema ..............MUSIMUPE HUYU MPINZANI WANGU KURA NI KAFIR .............."
Yule mugombea mukristo alipewa hizi habari ndani ya sekunde zilezile,lakini,alijikaza kiume.
Kufumba na kufumbua kura zikapigwa,matokeo yakatoka,MUBAGUZI wa kidini akashinda kwa kishindo cha ubaguzi.
Naomba mufahamu kuwa habari hizi ni za kweli,hakuna unafiki hapa,
Kwa wanaobisha juu ya ubaguzi huu,wamugeukie MUNGU wao,la hasha waendeleee,ikiwa MUNGU wao anaruhusu elements za kibaguzi.
Timu yetu haitachoka kupigania haki za wakristo,kupigana zidi ya wabaguzi hawa,Eee MWENYEZI MUNGU utujahalie,amen.
Na wewe toa pumba zako hapa naona wewe Mkombosi wote akili zenu sawa tu zilizojawa na ubaguzi wa hali ya juu. Kama tatizo lilikuwa la mtu mmoja basi usianze ku-label waislamu wote kuwa ni wabaguzi bali huyo muhusika pekee na hao watu wake waliompigia kura. Aliyewateua ni nani kupigania haki za wakristo? Watu wengine bwana mna ufinyu wa akili uliokithiri.
Kama tatizo lilikuwa la mtu mmoja basi usianze ku-label waislamu wote kuwa ni wabaguzi bali huyo muhusika pekee na hao watu wake waliompigia kura. Aliyewateua ni nani kupigania haki za wakristo?
Uzuri mmoja upumbavu na ugoigoi wako haufichiki, ulichokiandika inajionyesha ni jinsi gani ukomo na upeo wa akili yako ulivyo mfupi mithili ya njiti ya kibiriti. Wewe na wenzako hamna jipya na hamtaweza kueneza chuki zenu za kibaguzi katika jamii yetu, tumewastukia rudini huko mlipotoka na muendeleze chuki zenu hukohuko.Ceeque,Mwafrika wa kike na wenzako
Ninyi mnatakiwa muondoe pumba zenu hapa JF.
Hafu mnatishiatishia kama vile mlipelekwa na mafisadi huko mliko.
kwa ufupi ninyi ni wabaguzi mnaostahili adhabu ya moto wa milele.
Alichojaribu kusema Database,ni mfano tuu,wa kile alichokiona live.
kama hamuamini si mkae kimya.
Isitoshe mmetishia kutufutia na uraia,na kuomba dua twende hell,anzeni basi kuomba mnakuja JF kufanya nn?
Hatishiwi mtu hapa,tupo kamili,na tayari kufa kwa lolote hapa.
Washenzi ninyi,na mtakiona hadi kieleweke.
Dude, what are you rambling about?
Actually nimeenda shule nzuri sana tu na upeo wangu ni mkubwa kuliko wewe mbaguzi ambaye nadhani unatumia muda mwingi kubuni njia mbalimbali na propaganda nyingi za kibaguzi ambazo hazina nafasi kwenye jamii. Soma ulichoandika toka mwanzo ndio tutajua nani anaongea pumba. Upeo wako wa akili unaishia na kuanzia kwenye upumbavu wako.Ceeque umeenda shule kweli wewe kijana?
Unapima vp ubaguzi ktk jamii fulan?unajua vigezo vinavyotumika kusema CCM ni mafisadi?
Acha pumba kijana,haitatokea waislamu wooote wakawa wabaguzi,asilimia fulani inaweza kuwakilisha watu fulani kuwa ni wabaguzi.
Tuliza kichwa chako kijana.
Dude,
Can you read at least some of the time?
Dude, you're long winded...sometimes it's hard to follow you....can you just get right to the point.....
Mkuu Pundit,
Sitaki kumtetea, wala hata kunishuku kwamba, natetea mawazo ya Mukombosi. Nimemwita Bigot, na ni Bigot kwa kusema dini fulani ichague viongozi wa dini yao tu. Na najua ulikubaliana na mimi kuhusu hilo.
Lakini unajua sifungamani na upande wowote, na nataka kupinga maudhui ya tundiko lako. Unataka statistics kuthibitisha ubaguzi. Hiyo inaweza kuwa sio wazo zuri sana.
Naomba tutoke nje ya Bongo kidogo halafu tutarudi. Kuanzia mwaka 1965 ilipopitishwa sheria ya Civil Rights Act, Marekani, ilikuwa ili kuleta kesi ya kubaguliwa ilibidi uthibitishe nia ya mbaguzi na udhihirishe matokeo ya ubaguzi, "intent and effect" test. Mwaka 1982 yakapitishwa mabadiliko katika sheria hiyo, yanayosema vigezo vilivyo wekwa kuthibitisha ubaguzi ni vigumu mno. Ukinyimwa kupata pango la nyumba kwa sababu ya rangi yako, kwa mfano, utawezaje mwananchi wa kawaida kutafuta takwimu zinayoonyesha nia ya mwenye nyumba kukubagua wewe na wenzio wenye rangi yako, ni mara ngapi wewe na wenzio mmeomba pango kwa mbaguzi mkakataliwa, na kwamba wengi wamebaguliwa? Nitajuaje mimi nani mwingine kabaguliwa? Ninacho jua mimi, ni kwamba tumekuja watano kuomba pango, wanne walikuja nyumba yangu watatu wamwisho ambao wana rangi ya Mwenye nyumba wakapata, mimi na mwenzangu tukakosa. Sijui lingine lolote, sijui jinsi ya kujua, na sijui kama inaweza kujulikana.
Mzigo wa thibitisho ukashushwa. Mukombosi ni bigot, nitasisitiza, kwa sababu anataka dini yake ichague watu wa dini yake tu Tanzania. Lakini kumwambia alete takwimu akisema amebaguliwa, kuna wakati anaweza kushindwa wakati kweli amebaguliwa.
Kwa sababu ubaguzi unaweza kuwa jangwa kubwa kwa jamii, mara nyingi viwango vinavyo takiwa kuthibitisha ubaguzi vinapunguzwa. Kama Mukombosi asinge onyesha kwamba ni bigot, ningekubaki aeleze alivyo baguliwa bila kumwomba takwimu.
Ahsante.
Even if there is a case in the allegations, the charges are brought here without any statistical evidence, which due to a point raised by Fundi, that of a national plague of information starvation and malady of N/A in every important statistical field of almost any chart, I can understandably excuse, but what about the so called anecdotal and circumstantial evidence? Do we really have enough of that to build a solid case or this is just another chance to fuel a Christians vs Muslims or Bara vs Zanzibar brouhaha?
Hahahahahhahah
Ceeque naona unachanganyikiwa kijana,hahahhahahahah
Acha uwoga dogo,huu moto ishawasha,hauzimikiki.
Nasema,ninyi ni wa baguzi mliopitiliza,hadi mmejisahau,mnatumia mwanya wa ukimya wa wakristo,kutohoji,ili muendeleze ushenzi wenu.
Usihofu sana,wewe ni msomi,tumia usomi wako basi kubeza ukweli uliopo,lakini mtavuna mlichopanda.
Nawasaidieni tuu,hii timu iko kamili,na vita hii ni kali kuliko hata ile ya kuupinga ufisadi.