Ubaguzi huu utakoma lini?

Ubaguzi huu utakoma lini?

Leo nilikuwa nasikiliza redio ya Morning Star nikasikia tangazo hili la nafasi ya kazi ambalo limenishangaza sana:

1. Mwombaji awe ni muumini wa kanisa la Waadiventista wa Sabato (SDA) na aweze kuthibitisha hilo kwa maandishi.

2. Mwombaji awe ni mwenyeji wa Kanda ya Ziwa na hilo lithibitike kwenye cheti chake cha kuzaliwa.

3. Mwombaji awe na shahada ya kwanza ya uboharia (Material Management). Mwenye shahada ya pili ana uwezekano mkubwa wa kuajiriwa.

Kumbe bado kuna ubaguzi mkubwa wa kidini, kikabila na kikanda katika ajira nchini Tanzania? Ni lini hasa huu ubaguzi utakoma?
utakoma pale viongozi wako wa chadema watakapoacha kuendekeza hivyo vitu
 
...nijuavyo "material managemet" inahusiana na utunzaji vitu mbalimbali, (storekeeper)' basi yawezeka wakawa wanahitaji mtu wa kutunza Vitu vya kanisa (biblia n.k) ndani ya kanisa lao.

...na kuhusu kigezo cha awe anatoka kanda ya ziwa yawezeka sehemu kufanyia kazi ni huko kanda yz ziwa.
Hapo umenena.
 
Hata wangesema tunataka shehe kama kigezo wangempata wapi. kwa kweli sijawahi kuona shehe mwenye degree ktk elim dunia. yaani mwenye degree ya science au hata humanity yoyote. mpaka nahisi ili uwe shehe lazima usiwe msomi.

Soma historia uckurupuke nambie nikuletee mashekh wangapi ambao ni wataalam pia wa taaluma tofauti na ntakupa mda mzur wa kuwapima mpaka uridhike tupeane ahadi au kama vp ni pm
 
Waislam hakuna wanalolijua zaidi ya ngono,bange,viroba,kuoa under age,ufreemason(ugaidi).akiajiriwa na kanisa,kanisa liandae na klinic ya mama na mtoto,mateja kote huku kisa nn.Endeleeni kuandika makoroani kwenye makaratasi,kufunikiza ubani na kupiga madunguso muwapee wagonjwa wenu ..were are clean and smart as our Lord

Viroba unaingia navyo hadi kanisani mkuu?? Acha bangi hizo, au tuanze kushambuliana?? Mbona nyie mnapewa pombe(divai) kanisani sie hatupigi kelele, kuwa mstaarabu mkuu!!
 
aliyekupa data kakupoteza. fanya utafiti mkuu

Hiyo kitu ni kweli kabisa. Kuanzia getini hadi ndani unakutana na almost 98% ni wafanyakazi wa dhehebu moja. Huo ni ukweli usiopingika. Sehemu nyingine nenda katika kiwanda cha Murzah Oil ltd mambo ni yale yale kuanzia getini hadi ndani. Ndugu ubaguzi upo ingawa haujatangazwa kama hawa jamaa wasabato.
 
...nijuavyo "material managemet" inahusiana na utunzaji vitu mbalimbali, (storekeeper)' basi yawezeka wakawa wanahitaji mtu wa kutunza Vitu vya kanisa (biblia n.k) ndani ya kanisa lao.

...na kuhusu kigezo cha awe anatoka kanda ya ziwa yawezeka sehemu kufanyia kazi ni huko kanda yz ziwa.

Kwa hiyo yule anaeishi kanda ya ziwa lakini SI mwenyeji wa kanda ya ziwa huon atakuwa amebaguliwa sbb ametakiwa LAZIMA athbititishe km nìmzaliwa wa kanda hiyo (wakat mnatetea na akili mzishìrkishe pia)
 
Inategemea na aina ya kazi katika kutoa hizo kategory, yawezekana kazinauhusiano na hiyo dini ya kisabato. Au unasemaje ndugu yangu
 
Viroba unaingia navyo hadi kanisani mkuu?? Acha bangi hizo, au tuanze kushambuliana?? Mbona nyie mnapewa pombe(divai) kanisani sie hatupigi kelele, kuwa mstaarabu mkuu!!

Duh hii level nyingine.....
 
Naona tangazo lao liko sawa hata halina ubaguzi.....inawezekana wanahitaji kuajiri stote keeping person atakayefanya kazi ndani ya miradi ya kanisa so wasingehitaji mtu wa dhehebu au dini tofauti.Mfano waislamu hawawezi kumchukua mtunza mali za msikiti ambaye ni mkisto the same applies kwamba walutheri au wakatoliki hawawezi kumuajiri muislamu atunze vifaa au mali za kanisa.So msabato mwenye sifa aliyeko kanda ya ziwa achangamkie kazi
 
mkuu nilichoandika ninaushaidi nacho.Nimeshuhudia binti wa 15 akiolewa na 45 hata mhohamed alikuwa 25yrs akaoa40yrs.Al-shabaab,boko haram,alqueda wote ni waislam.hapa mtaani wanaovuta bange wengi ni waislam.zaidi kuna shekhe unampa elfu 10 ..ehee bac isije nikawa na weka siri za watu hapa wakatuma ma-jini yao nisilione jua la kesho.kwa kifupi what written stay written

Bokassa,Kibwetere, Kagame,Mobutu, Joseph koni, waasi wa Ireland ya kask, Bush sr&jr wote ni Waislamu?? Hilo ni kosa la mwl wako kukufanya ukariri na dv 5 yako ya kata!
 
Waislam hakuna wanalolijua zaidi ya ngono,bange,viroba,kuoa under age,ufreemason(ugaidi).akiajiriwa na kanisa,kanisa liandae na klinic ya mama na mtoto,mateja kote huku kisa nn.Endeleeni kuandika makoroani kwenye makaratasi,kufunikiza ubani na kupiga madunguso muwapee wagonjwa wenu ..were are clean and smart as our Lord

Ndugu yangu ktk bwana kama ni NGONO uwezekano wakufanyika kanisani nmkubwa zaidi sababu 1 mnaingia makanisan uchi 2 mna changanyika 3 wakat wamaomb taa zina zimwa na kuhusu BANG nyiny ndo wenyewe pombe mwapeyana adi kanisan na taft miji inayolima Bang kwa wing ni mij yenu hata kibabu chenu ameshapaza saut kutaka gongo ihalalishwe kumbuka yeye ni mchungaj pia na ndoa za under age rejea tafti zilizofanywa na kanisa lenyewe kuhusu udhalishaji wa viöngoz wakanisa kwa wa toto wa kiume under 10 ubarikiwe kwa jn la bwana
 
mkuu nilichoandika ninaushaidi nacho.Nimeshuhudia binti wa 15 akiolewa na 45 hata mhohamed alikuwa 25yrs akaoa40yrs.Al-shabaab,boko haram,alqueda wote ni waislam.hapa mtaani wanaovuta bange wengi ni waislam.zaidi kuna shekhe unampa elfu 10 ..ehee bac isije nikawa na weka siri za watu hapa wakatuma ma-jini yao nisilione jua la kesho.kwa kifupi what written stay written

Kumbe uyo Shehe wa mtaani kwenu unaenda na buku 10 kwa cri cri basi usipate shida nenda katk makanisa ya Anglican washatangaza wazi kuwapokea viögozi mashoga na tayari wanatoa huduma za kiroho na hiyo ndo amri kwa makanisa yao yote dunian. kwa hìyo we kama vp nenda kwa mchungaj wala mzigo na buku 10 wakatiwa na kisha na dhambi anakufutia teh teh teh teh teh teh mna raha sn nyie
 
Teh teh teh teh teh.......nimekumbuka lile saga la mtoto Kukojolea kitabu kitukufu Mbagala jamaa walipovamia bar na Makanisa vitu vilivyochukuliwa/ibiwa ni pamoja na masanduku ya Bia na Divai... This world is so funny. Sijui ni akina nani walichukua hizo kitu.
 
Wasabato hawanywi coca cola,hawavuti sigara,hawali nguruwe sijui ukristo una biblia aina ngapi maana hivyo vyote kwa wakatoliki ruksa
Hayo masharti yao magumu wengi wao hawafwati coz mwanamke wa kisabato hatakiwi kusuka,wala kutoga maskio,kwa dunia hii nani ataweza hahaaa,katoliki tupo free,yapo masharti kakini si ya kihivyo!
 
Na uenyeji wa kanda ya ziwa ni requirement ya kidini?

Huu ni ubaguzi wa kikanda. soma heading ya post inaongelea UBAGUZI wa aina yoyote--ama wa kidini, kikanda, kikabila, kijinsia, kibaologia, n.k
 
Back
Top Bottom