Ubaguzi huu utakoma lini?

Ubaguzi huu utakoma lini?

umelazimishwa kusikiliza radio Yao?

mkuu, hoja sio kusikiliza redio---hoja ni tangazo--usikilizaji wa redio sina tatizo nao--nimesema tu kwamba nilisikia hilo tangazo wakati nasikiliza redio lakini sio kwamba sipendi kusikiliza redio yao. hoja yangu ipo kwenye ubaguzi uliopo kwenye tangazo lao. umenipata?
 
mbona hapahapa bongo kuna nafasi za kazi moja ya kigezo sharti ujue kihindi

kihindi ni taaluma kama kiingereza--hata kazi zingine huwezi kupata mpaka ujue kifaransa au kichina--hii ni taaluma. tatizo langu lipo kwenye utumiaji wa udini, ukanda na ukabila kama vigezo vya kuajiriwa. sidhani kwamba kazi ya material management inahitaji usabato ili ifanyike kwa uzuri!!!!!!!!!!!!
 
Wasabato ni wabaguzi hadi ktk shule zao wanangalia kwanza watoto wa wasabato hata kama ni manunda wapate kwanza nafasi wengine baadae!

wangekuwa na shule nyingi na bora kama waroma si wengine ambao madhehebu yetu hayana shule tungekoma?:sad:

ni kweli kabisa mkuu. wasabato na waBAKWATA wana ubaguzi wa ajabu sana. waroma hawana ubaguzi hata kidogo. katika shule ya waroma niliyosoma kuna waislamu kibao, suala ambao ni nadra kulikuta kwenye shule za BAKWATA--wao huchukua walimu na watumishi wote wa kiislamu hata kama ma-MBURULA wa kutupwa.
 
Leo nilikuwa nasikiliza redio ya Morning Star nikasikia tangazo hili la nafasi ya kazi ambalo limenishangaza sana:

1. Mwombaji awe ni muumini wa kanisa la Waadiventista wa Sabato (SDA) na aweze kuthibitisha hilo kwa maandishi.

2. Mwombaji awe ni mwenyeji wa Kanda ya Ziwa na hilo lithibitike kwenye cheti chake cha kuzaliwa.

3. Mwombaji awe na shahada ya kwanza ya uboharia (Material Management). Mwenye shahada ya pili ana uwezekano mkubwa wa kuajiriwa.

Kumbe bado kuna ubaguzi mkubwa wa kidini, kikabila na kikanda katika ajira nchini Tanzania? Ni lini hasa huu ubaguzi utakoma?

sasa ulitaka shekhe akaudumie kanisani ?
 
  • Thanks
Reactions: y-n
ni kweli kabisa mkuu. wasabato na waBAKWATA wana ubaguzi wa ajabu sana. waroma hawana ubaguzi hata kidogo. katika shule ya waroma niliyosoma kuna waislamu kibao, suala ambao ni nadra kulikuta kwenye shule za BAKWATA--wao huchukua walimu na watumishi wote wa kiislamu hata kama ma-MBURULA wa kutupwa.
Usiwe mjinga mpaka mbele za watu jitahidi ujingaa wako uwache nyumbani. Ivi bakwata ni madhehebu gani ktk dini ya kiislam? usifananishe madhehebu za dini na taasisi za dini hivi ni vitu tofauti mdogo wangu. Hata taasisi za kikiristo zipo zenye seminari wansosoma pale ni wakiristo tuu. Musiwe munachokonowa vijimambo visivyo na tija kwa taifa
 
ni kweli kabisa mkuu. wasabato na waBAKWATA wana ubaguzi wa ajabu sana. waroma hawana ubaguzi hata kidogo. katika shule ya waroma niliyosoma kuna waislamu kibao, suala ambao ni nadra kulikuta kwenye shule za BAKWATA--wao huchukua walimu na watumishi wote wa kiislamu hata kama ma-MBURULA wa kutupwa.

mbona hapa mum tunao wakristu !
 
Patrick Kahemele, ambaye ni Mkristo na mwenyeji wa Bukoba alikuwa Meneja wa Azam FC na sasa ni Mkurugenzi wa matangazo wa Azam TV (kama sijakosea).
Kama huna la kufanya kakojoe ukalale...

Utapotea kama unapima dini za watu kwa majina.
 
Fikra chakavu !! Samahani kadri miaka invyokwenda waTZ tunapiga hatua moja mbele na kurudi hatua tatu nyuma !! Kweli ni nini kinachotusibu? au nini kinaendelea ?? WaTz tubadilike...
 
sasa ulitaka shekhe akaudumie kanisani ?

Hata wangesema tunataka shehe kama kigezo wangempata wapi. kwa kweli sijawahi kuona shehe mwenye degree ktk elim dunia. yaani mwenye degree ya science au hata humanity yoyote. mpaka nahisi ili uwe shehe lazima usiwe msomi.
 
Wewe udini unasumbua ubongo wako.ongea mambo ulokuwa na ujuzi nayo co unakurupuka tu.
 
Hata wangesema tunataka shehe kama kigezo wangempata wapi. kwa kweli sijawahi kuona shehe mwenye degree ktk elim dunia. yaani mwenye degree ya science au hata humanity yoyote. mpaka nahisi ili uwe shehe lazima usiwe msomi.

pole sana
 
kihindi ni taaluma kama kiingereza--hata kazi zingine huwezi kupata mpaka ujue kifaransa au kichina--hii ni taaluma. tatizo langu lipo kwenye utumiaji wa udini, ukanda na ukabila kama vigezo vya kuajiriwa. sidhani kwamba kazi ya material management inahitaji usabato ili ifanyike kwa uzuri!!!!!!!!!!!!

wewe ni mhasibu by proffession hapa TZ...Tangazo la kazi linakuja moja ya kigezo ujue kihindi unaona ni sawa eti kisa kihindi ni taaluma...kama ni hivyo sijui kama tungekuwa na makocha wa kigeni ama wafanyakazi wasio jua kiswashili maana nayo ni taaluma
 
Back
Top Bottom