tpaul
Platinum Member
- Feb 3, 2008
- 25,995
- 25,388
Leo nilikuwa nasikiliza redio ya Morning Star nikasikia tangazo hili la nafasi ya kazi ambalo limenishangaza sana:
1. Mwombaji awe ni muumini wa kanisa la Waadiventista wa Sabato (SDA) na aweze kuthibitisha hilo kwa maandishi.
2. Mwombaji awe ni mwenyeji wa Kanda ya Ziwa na hilo lithibitike kwenye cheti chake cha kuzaliwa.
3. Mwombaji awe na shahada ya kwanza ya uboharia (Material Management). Mwenye shahada ya pili ana uwezekano mkubwa wa kuajiriwa.
Kumbe bado kuna ubaguzi mkubwa wa kidini, kikabila na kikanda katika ajira nchini Tanzania? Ni lini hasa huu ubaguzi utakoma?