Acha ujinga babu๐ซขKataa ndoa mkuu...
Ndoa ni jinai na watoto ni hasara maana wanamaliza hela ya kula bata na totoz.....๐
Mimjinga kitambo, hata hapa inajulikana tu....๐ฎโ๐จAcha ujinga babu๐ซข
Simba akiwa na nguvu fisi hawasogei, wanaheshimu nguvu zake japo hawana upendo naye, ngoja azeeke au apate majeraha.kuna wale wanaosema , sisi tunachotaka kwenye familia ni heshima tu sio upendo --- kundi hili lina hatihati kubwa ya kukumbana na hilo
True.Hata hili linafanya wazee kufa na depresion ila familia zingine zina bond hadi raha, haya mambo ni hayatabiriki. Vyema kuishi katika namna ya kuwa salama zaidi, japo lolote laweza tokea
Kuna ambao hawajaoa wanaishi maisha ya matesoKupanga ni kuchagua. Ufanye kitu usichopenda uishi kwa mateso miaka 40 ili uje uishi kwa raha miaka 10 uzeeni ambako hata hujui kama utafika, au uchague kuishi kwa raha leo ukisubiria mateso yajayo
na unakuta watu wanarithishwa hayo mawazo, kijana unakuta anaongea maneno hayo unajiuliza huyu haya maneno ya kutaka tu respect anayatoa wapi anayatafakari kweli?, unaanzisha familia kila kitu unakataza amri yako peke yako tu, uzeeni huko watoto wakiside na mama yao ni mambo ya kawaida sana maana licha ya kwamba mlikua mnaishi nyumba moja ila bond na watoto haikuwepolicSimba akiwa na nguvu fisi hawasogei, wanaheshimu nguvu zake japo hawana upendo naye, ngoja azeeke au apate majeraha.
Vipi na sisi tuliobarikiwa kupata watoto afu tukatelekeza?Kuna sababu nyingi zinazochangia mtu kutokupata watoto. Ila yote kwa yote kukosa watoto ni mateso sana.
Kumbe๐ซขMimjinga kitambo, hata hapa inajulikana tu....๐ฎโ๐จ
Kukusaidia kufanya nini?Dawa ni kuzaa tu watoto wengi hata 12 hivi katika hao hawatakosa wanne kukusaidia uzeeni
Mi nikizeeka nitakupa ushuhuda, nifanyeni mimi wa mfano ๐๐๐Kuna mtu pia kashuhudia bibi akiteseka na ubachela??? Au hii ngoma ni ya babu pekee?
(Nisifokewe nimetumia ubachela ili nieleweke)
Mbona wengi tu wazee wamesha fiwa na wake zao na awawezi kuoa tena ..labda hoja yako ingeongelea watoto siyo kuwa na mke ...Kila nnapomwangalia babu ndugu yake babu mzaa baba anavyoteseka.maisha ya ubachela saa zingine yananiogofya mno. babu yangu ana miaka 75 saiv hana mke wala mtoto hata wakuzingiziwa.licha ya uzee huo hamna mtu anayempa kipaumbele. mara nyingi huwaanajutia mno wa kujidanganya na usela uliyomponza.saiv anafidia usela wake. jana nilifika hapo kumsalimu na kumpa vimaelekezo.neno aliloniuliza mjukuu wangu umeamuje. nikamuuliza nn babu?akajibu mwali.nikamweleza bado najitafuta mazingira bado.akanieleza ukisema hivyo kuoa n ngumu. akanijibu ndoa sio kujipanga ndoa ni maamuzi.chunga usije ukawa kama mm nlisema hivyo mda ukanipa.
Haha ๐๐ Wamama hawana shida kuishi wenyewe kama mmechunguza vizuri kwenye jamii, Nyumba za wamama ziko accommodative, kuna chakula kinapikwa hivyo ni kawaida kukuta watu around hata kama ni ndugu jamaa hata watoto/vijana wa mtaani.Mtafutie jimama fulani hivi.....awe nae hapo..........