Ubachela ngoma yake ni uzeeni!

Ubachela ngoma yake ni uzeeni!

Kuna wakati huwa nakaa nafikiria, hivi nisingekuwa na mke na watoto hizi mbilingembilinge za mara huyu anahitaji ada, yule anaumwa anatakiwa matibabu, mwingine anahitaji kiatu, mara mke naye anahitaji kuvaa , bado sijahakikiaha chakula kipo . Ningezikosa hizi harakati za design hiyo maisha yangu yangwkuwa ya kulemaa lemaa sana " labda"!!???

Kwa mwanaume ukishindwa kumudu majukumu ya familia sijui utaweza nini.

NB; kuoa & kuolewa. Ni aidha unaoa au unaolewa
 
Kuna mdau ni mtu maarufu huhamasisha vijana wasioe cha kushangaza ye kaoa na ana watoto wakumbwa tu, na juzi mwanae mMoja kamaliza shule form four, na ana mke, mdogo wake kaoa mwaka Jana mwishoni hakumzuia, mpaka unajiuliza shida nini, ndoa Ina gharama zake you needs to pay lakini kuhamasisha watu wasioe huko nikupingana na mungu na mafundisho yake tusifate mkumbo hata kwa utani tu.
Presenter? Sasa mtu alioa akaona issues zake akapitia separation unahisi anatania akisema kijana usioe? Watoto hawaingii kwa equation hajasemausizae.
 
Hapo zenji Kuna sehemu kwa maza mMoja nilikua naenda kupata chakula, sasa Kuna Mzee mMoja alikua anakija kula pale ni Mzee Sanna, yule Babu anapitia kipindi kigumu sana haya mambo ya usela ujanani sijui kataa ndoa wallah yatatutokea puani, Yani ili ale mpaka ahurumiwe Yani shida tupu ukimcheki ni msela tu wa enzi hizo tusalinsana ndugu zangu vuta nyapu hata kama ni mbibi asee vuta mkuu, sikilizia kua mpole usipo kua na hela punguza Sheria kwa mkeo, we mwanamke anachangia Kodi mara anunulie chakula watoto bado we na e unataka umpe na Sheria zako, huwezi ndoa ndoa inamtaka mume mjinga, wanao umia n madogo kibaya zaidi hawa madogo wasicho kijua maisha ya mtandaoni ni fake, wanao chochea haya mambo wengi wao wamesha kata tamaa ya maisha, wengine mashoga, wengine mahanisi, Kila mtu na sababu zake Kuna mdau ni mtu maarufu huhamasisha vijana wasioe cha kushangaza ye kaoa na ana watoto wakumbwa tu, na juzi mwanae mMoja kamaliza shule form four, na ana mke, mdogo wake kaoa mwaka Jana mwishoni hakumzuia, mpaka unajiuliza shida nini, ndoa Ina gharama zake you needs to pay lakini kuhamasisha watu wasioe huko nikupingana na mungu na mafundisho yake tusifate mkumbo hata kwa utani tu.
Ndoa ni hasara kwa mwanaume.
Kuwa na watoto sio lazima uoe,,
Wanawake hawana nia nzr na mwanaume,kuna siku utaelewa.
 
Ndoa ni hasara kwa mwanaume.
Kuwa na watoto sio lazima uoe,,
Wanawake hawana nia nzr na mwanaume,kuna siku utaelewa.
Kaka nisha yaona, lakini inabidi usihusishe wote, unamjua dogo bodaboda alikua anaitwa juma, alipata ajali ya pikipik, akapelekwa muhimbili, yule dogo mke wake kapambana sana Yani kapigana mpaka doggo anakata pumzi wadau wanasalute dogo alioa angekua mwingine mke kesha mkimbia
 
Kaka nisha yaona, lakini inabidi usihusishe wote, unamjua dogo bodaboda alikua anaitwa juma, alipata ajali ya pikipik, akapelekwa muhimbili, yule dogo mke wake kapambana sana Yani kapigana mpaka doggo anakata pumzi wadau wanasalute dogo aliona angekua mwingine mke kesha mkimbia
Tunapotoa ushauri tunaangalia uwingi wake,90% ya wanaume wanapata matatizo sababu ya ndoa.
-kupata magonjwa ya moyo
-kugawana mali
-kufa mapema sababu ya stress
-umasikini.
-hawana shukran
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom