Afcon kinanuka
JF-Expert Member
- Apr 5, 2026
- 1,248
- 3,303
Mimi ninamiaka 76 kwa sasa na ninafurahia ubachela na ninanguvu za kutosha
Kama wanateseka namna hiyo unadhani kwa nini hawaoi?Kuna ambao hawajaoa wanaishi maisha ya mateso
Wakiume bize kuwasumbua ndugu zao kuja kuwahudumia
Mwisho wa siku ni bora uwe na familia kuliko kuishi single kwa kigezo cha kufurahia maisha
Single wengi wanasumbuliwa na upweke na depression
Dsm hii hii,, utakuwa una shonea ma weavings kwa kwenda mbele huku una mawani nyeusi na kipochi size ya katiWapi huko?
NI bora kuoa na kuwa na familia kuliko kuwa single mpaka miaka 70's huko huna mke wala familiaKama wanateseka namna hiyo unadhani kwa nini hawaoi?
Hujanijibu swali languNI bora kuoa na kuwa na familia kuliko kuwa single mpaka miaka 70's huko huna mke wala familia
NimeshajibuHujanijibu swali langu
Bro tunaomba uwakilishi wako, uwe bibi wa kataa ndoa.....utupe mfanoMi nikizeeka nitakupa ushuhuda, nifanyeni mimi wa mfano 😆😆😆
Nishakuchek PM....😋Kumbe🫢
Limeisha hilo bro! 😎Bro tunaomba uwakilishi wako, uwe bibi wa kataa ndoa.....utupe mfano
Hujajibu. Wewe umesema walioko singo ni wapweke na wanaishi na depression...nikakuuliza kama wanapitia maisha ya tabu namna hiyo ni kwa nini hawaoi?Nimeshajibu
Na ukiwa mdogo una nguvu unadhanigi utakua hivyo hivyo miaka yote na hii ni changamoto ya vijana
Hapa jeiefu watakuambia wanateseka ila huku mtaani wabibi wanaoishi peke yao ni wengi kuliko walioko kwenye ndoa na maisha yao yako yamenyooka tuKuna mtu pia kashuhudia bibi akiteseka na ubachela??? Au hii ngoma ni ya babu pekee?
(Nisifokewe nimetumia ubachela ili nieleweke)
Hahahhhaah kwani umewaza nini wewe😆Dsm hii hii,, utakuwa una shonea ma weavings kwa kwenda mbele huku una mawani nyeusi na kipochi size ya kati
Mm nimeula 👖 na raba kali plus mawani nyeusi na koti ya coudry nakuzoom kwa mbali
Mbona wengi tu wazee wamesha fiwa na wake zao na awawezi kuoa tena ..labda hoja yako ingeongelea watoto siyo kuwa na mke .Kila nnapomwangalia babu ndugu yake babu mzaa baba anavyoteseka.maisha ya ubachela saa zingine yananiogofya mno. babu yangu ana miaka 75 saiv hana mke wala mtoto hata wakuzingiziwa.licha ya uzee huo hamna mtu anayempa kipaumbele. mara nyingi huwaanajutia mno wa kujidanganya na usela uliyomponza.saiv anafidia usela wake. jana nilifika hapo kumsalimu na kumpa vimaelekezo.neno aliloniuliza mjukuu wangu umeamuje. nikamuuliza nn babu?akajibu mwali.nikamweleza bado najitafuta mazingira bado.akanieleza ukisema hivyo kuoa n ngumu. akanijibu ndoa sio kujipanga ndoa ni maamuzi.chunga usije ukawa kama mm nlisema hivyo mda ukanipa.
Kwani kuna kanuni kuwa ukizeeka mke au mume wako atakuwa hai ...? Kwani haujui kuwa mume na mke ufa kwa wakati tofauti..siyo lazima wafe kwa siku moja ...wapo wazee wengi wamebaki bila ya mke baada ya wake zao kufa mbele yao..tumia akili wacha kuwa mpumbavu kama kada wa ccmKuna watu mnacomment mambo ya "Tafuta pesa hautateseka", mara "hayo yote sababu hana pesa".
Naomba niwaambie tu, uwe na pesa usiwe na pesa, ukizeeka ukiwa bachelor utateseka tu.
Binadamu hatujaumbiwa kuishi single, tumeumbiwa kuishi pair, mwanaume na mwanamke.
Na amini usiamini kuishi single hautakaa uwe na pesa, na ukiwa nazo utakufa mapema maana utakuwa hauna discipline!
Uje na kibunda tu☺️Nishakuchek PM....😋
Hizi ni Kamari hazina uhakika.Hapo zenji Kuna sehemu kwa maza mMoja nilikua naenda kupata chakula, sasa Kuna Mzee mMoja alikua anakija kula pale ni Mzee Sanna, yule Babu anapitia kipindi kigumu sana haya mambo ya usela ujanani sijui kataa ndoa wallah yatatutokea puani, Yani ili ale mpaka ahurumiwe Yani shida tupu ukimcheki ni msela tu wa enzi hizo tusalinsana ndugu zangu vuta nyapu hata kama ni mbibi asee vuta mkuu, sikilizia kua mpole usipo kua na hela punguza Sheria kwa mkeo, we mwanamke anachangia Kodi mara anunulie chakula watoto bado we na e unataka umpe na Sheria zako, huwezi ndoa ndoa inamtaka mume mjinga, wanao umia n madogo kibaya zaidi hawa madogo wasicho kijua maisha ya mtandaoni ni fake, wanao chochea haya mambo wengi wao wamesha kata tamaa ya maisha, wengine mashoga, wengine mahanisi, Kila mtu na sababu zake Kuna mdau ni mtu maarufu huhamasisha vijana wasioe cha kushangaza ye kaoa na ana watoto wakumbwa tu, na juzi mwanae mMoja kamaliza shule form four, na ana mke, mdogo wake kaoa mwaka Jana mwishoni hakumzuia, mpaka unajiuliza shida nini, ndoa Ina gharama zake you needs to pay lakini kuhamasisha watu wasioe huko nikupingana na mungu na mafundisho yake tusifate mkumbo hata kwa utani tu.
Si wazee wa kitajiri tusiotaka kuvaa suruali za karume na gauni la solo 😂Hahahhhaah kwani umewaza nini wewe😆
Principal of Duality, Yin-Yang. ☯️huenda ndio maana ana 75 yrs of age,
angekua ameoa sidhani kama angetoboa 75.
hata hivyo,
amekupa ushauri mujarabu sana,
kwakua maisha yenyewe kwa sasa ni mafupi. Uwe bachela uwe na familia, shida, mateso, mahangaiko, raha na burudani viko pale pale.
there is no escape roots,
ishi nao kwa akili 🐒