Expensive life
JF-Expert Member
- May 2, 2020
- 4,032
- 12,800
Nyie rukeni rukeni weeh, ila familia ni muhimu.
Kujifariji sio jambo bayakujifariji tu,
hata usingeoa maisha yangeendelea tu, ila suala la wewe kuoa na kujiona uko perfect kuliko ambaye hajaoa ni kujidanganya.
maisha yapo popote ulipo, ukioa, usipooa yote ni sawa furaha, huzuni, karaha na raha zitakufuata hapohapo haijalishi
Ndugu, watoto wanajileta wenyewe. Ndio wale tunaoskia watoto wa hiyari, kaka/dada wa hiyari nkRich grandpa hawana hizi shida.....
Mtafutie jimama fulani hivi.....awe nae hapo..........
Walikula maisha ujanani, hadai chenjni.Kila nnapomwangalia babu ndugu yake babu mzaa baba anavyoteseka.maisha ya ubachela saa zingine yananiogofya mno. babu yangu ana miaka 75 saiv hana mke wala mtoto hata wakuzingiziwa.licha ya uzee huo hamna mtu anayempa kipaumbele. mara nyingi huwaanajutia mno wa kujidanganya na usela uliyomponza.saiv anafidia usela wake. jana nilifika hapo kumsalimu na kumpa vimaelekezo.neno aliloniuliza mjukuu wangu umeamuje. nikamuuliza nn babu?akajibu mwali.nikamweleza bado najitafuta mazingira bado.akanieleza ukisema hivyo kuoa n ngumu. akanijibu ndoa sio kujipanga ndoa ni maamuzi.chunga usije ukawa kama mm nlisema hivyo mda ukanipa.
Ishi leo , uzee majaliwa.At 75 haijalishi una mke au mume, wote mko hoi, tafuta hela ikutunze uzeeni
good, as long as unapata ahueniKujifariji sio jambo baya
Hauko peke yako ,😂😂🤣Nitaoa ila sijapata wa kuoa 😪
Uenda ungekuwa hata haupo duniani.Kuna wakati huwa nakaa nafikiria, hivi nisingekuwa na mke na watoto hizi mbilingembilinge za mara huyu anahitaji ada, yule anaumwa anatakiwa matibabu, mwingine anahitaji kiatu, mara mke naye anahitaji kuvaa , bado sijahakikiaha chakula kipo . Ningezikosa hizi harakati za design hiyo maisha yangu yangwkuwa ya kulemaa lemaa sana " labda"!!???
Kwa mwanaume ukishindwa kumudu majukumu ya familia sijui utaweza nini.
NB; kuoa & kuolewa. Ni aidha unaoa au unaolewa