Ubabe wa FFU

Ubabe wa FFU

TIQO

JF-Expert Member
Joined
Jan 8, 2011
Posts
13,786
Reaction score
2,104


Askari Polisi wakimbeba Mlemavu kumtoa nje baada ya mlemavu huyo kuonekana akikimbia huku akiwa hana nguo alipokuwa akijaribu kuingia katikati ya uwanja, alipoulizwa mlemavu huyo alisema kuwa alikuwa akielekea kumpongeza Mbuyu Twite, baada ya kuachia shuti kali lililomkuna vilivyo na kutinga wavuni hivi karibuni (picha na amanimtanzaniablog)​
 
Furaha tu alokuwa nayo. Ndio Ushabiki Huo.


Wangemtoa tu kistaarab afu ahojiwe madhumuni yake ya kuingia uwanjani ni nini, akanywe au awe fined maana sio ruhusa kuingia katika Pitch afu baasi.

Si vyema walivyofanya.
 
Back
Top Bottom