Sana ndio radio yangu ambayo naisikiliza muda woteayaah yaaah ni FIRE hao watu kipindi kimekua kizuri sana kiukweli kumbe wewe nimdau kama mimi
Sana ndio radio yangu ambayo naisikiliza muda woteayaah yaaah ni FIRE hao watu kipindi kimekua kizuri sana kiukweli kumbe wewe nimdau kama mimi
unajua tasnia ya utangazaji kuna kuexpire tofauti na professional nyingine ... mfano mzuri unakumbuka Fredwaa alipokua RFA alikua ni hatari sana ila leo yupo clouds hana tofauti na kina mchomvu kwa hiyo cha kuangalia ni sehemu gani anafitMfanyakazi anafata sehemu yenye maslahi. Kama unafanya kazi serikalini,kampuni binafsi ikakupa dau nono zaidi ya serikalini ni lazima uhame ukapate dau nono.
Habari wakuu,
kiukweli nimekua mdau wa media kwa muda sana na kujua mazuri na mabaya ya baadhi ya media.
Leo acha niongelee hii redio clouds fm juu ya mambo wanayoyafanya ambayo ni kama vitendo vya kikatili.
Mwanzoni wasanii wengi walikua wanailalamikia redio hiyo kuwa ndio wanaowadhurumu kazi zao na mapato yao kwa kuwapa masharti magumu ambayo mwisho wa siku yanawakandamiza wasanii na hatimaye kujikuta kuishia masikini na kutonufaika na kazi zao za kisanii.
Kikubwa zaidi ni hiki cha kuingilia tasnia ya utangazaji, ambapo mwanzoni wakati huo kuna mtangazaji anafahamika kwa jina la paul james "p.j" ambaye ni moja kati ya watangazaji mahili na wenye weledi katika tasnia ya habari, lakini wakati fulani alihama redio hiyo na kuhamia e f.m redio ambapo aliambatana na mtangazaji mwenzake "gerald hando" ambapo walifanya kazi nzuri sana na kufanya kipindi walichotangaza kuwa moja kati ya vipindi pendwa vya asubuhi.
Lakini hawa clouds fm wakafanya ya kufanya wakamrudisha clouds fm p.j lakini hakupewa hadhi kama ile aliyokuwa nayo awali kabla hajahama na hii kumfanya mtangazaji huyo kushuka thamani kwa sasa.
Vilevile e f.m ilikua na mtangazaji wake mahili sana hasa katika kipindi cha genge ambacho alivuma sana na aina ya mziki wa singeri ambapo mtangazaji huyo alijulikana kwa jina la kicheko, kama haitoshi clouds fm wakafanya ya kufanya na hatimaye kumnyakua kicheko na uhamisho wake ulivunja record ambayo haijawahi kutokea kwani alisindikizwa na bodaboda takribani 150, pamoja na kuwa na thamani kubwa alipokua e f.m lakini alipotua clouds fm hakupewa thamani ile ambayo alistahili kwni akawa anapewa segment ndogo sana na kuna wakati huwa hasikiki kabisa..
Sasa hii imejidhihirisha kuwa hawa clouds fm wapo kwaajili ya kuua vipaji na sio kuendeleza....
aha haa..safi sana mkuu ukiskia queen fifi anarusha siza kitego ujue nimehusika maana huwa sikosiSana ndio radio yangu ambayo naisikiliza muda wote
zima hiyo washa EA RADIO au E FMImebidi niwashe redio kusikiliza clouds fm
Mkuu kweli hizi zote ni product za huko?Hata Mami baby..Kennedy the remedy...George Bantu na Dj sinyorita waliwavuta hivyohivyo kutoka East Africa Radio...Clouds Bwana
Yeah walipatia umaarufu pale, ila kabla ya kufika huko walikuwa media nyingine..mfano Mamy Baby alitoka radio 5 ya chuggaMkuu kweli hizi zote ni product za huko?
dah umenisikitisha sana mkuu kwa taarifa hii..na ninaona ina ukweli ndani yake ..kuna siku nilikua pale maeneo ya maringo akatokea maeneo ya kawe na hiyo gari nyekundu fujo nyingi mtaani sauti kubwa sana...kama ni hvyo basi anajimaliza mwenyewe..La PJ sioni tatizo na tuliomzoea tunaona yuko vile vile tu na kama kabadilika basi yawezekana ni mfumo au utaratibu mpya wa hapo Clouds fm. Ila kwa Kicheko nadhani kwakuwa ninamjua tena ' Kindakindaki ' tokea Kwao ' Mwananyamala ' ambapo ' Kashfa ' zake nyingi leo naziweka ' Kiporo ' kidogo. Kinachommaliza Mtangazaji huyu Kicheko kwanza ni kujisahau na kuona kuwa baada ya kutakiwa na CMG na kupewa Gari yake hiyo ' Nyekundu ' anayoitumia sasa ( ambayo hata hivyo alipewa ikiwa mpya kabisa lakini ukiina sasa hivi unaweza kusema Scraper linatembea barabarani kwa jinsi alivyoichakaza huku kila akipita nayo tu mitaani anaweka sauti ya juu na mguu mmoja akiunyanyua na kuweka juu ya dash board na dreads zake zikimsimama utafikiri Pilipli pori ) na ' Mshahara ' mzuri kidogo basi ndiyo ameshamaliza na ' kayapatia ' maisha hivyo kapunguza juhudi na ubunifu haupo tena. Na kubwa zaidi Mtangazaji huyu huko nyuma aliacha yale matumizi yake ya ' Kutukuka ' ya ' Ngada / Powder / Dawa ya Kulevya ' ila nasikitika kusema kwamba Mtangazaji huyu amerudia tena ' kuyatumia ' japo Kisiri sana ila sasa amewekeza mno katika Kuvuta mno ' Bangi / Bange ' na Vijiwe vyake vikubwa ni viwili Kawe ' mnarani ' na Kawe ' Makaburi matatu bondeni ' ambako ndiko kuna ' Masela ' wake na hayo maeneo kila siku lazima ayapitie ili ' kushtua ' Kichwa na kupata ' Stimu '.
Siandiki haya yote labda kwa kumchafua au kumkomoa ila kinachoniuma ni kwamba hakuna ' Mtangazaji ' ambaye ana ' Vipaji ' vingi kama huyu Kicheko na kama angepata au atampata Msimamizi mzuri nawahakikishieni tutafaidika na kujivunia nae sana ila tatizo kubwa anapenda mno Ngada ( Unga ) na Puje ( Bangi ) na sasa imeshamuharibu kama siyo kummaliza na nina wasiwasi hata hapo Clouds Media Group ( CMG ) alipo sasa anaweza kupoteza ' Kibarua ' chake.
clouds..kwanni umchukue mtu ambaye huna matumizi naeSasa hapo wa kulaumiwa nani? Clouds au Watangazaji wenyewe
dah umenisikitisha sana mkuu kwa taarifa hii..na ninaona ina ukweli ndani yake ..kuna siku nilikua pale maeneo ya maringo akatokea maeneo ya kawe na hiyo gari nyekundu fujo nyingi mtaani sauti kubwa sana...kama ni hvyo basi anajimaliza mwenyewe..
Na Kennedy pia, huyo Bantu sauti sijui walimtoa wapi?Yeah walipatia umaarufu pale, ila kabla ya kufika huko walikuwa media nyingine..mfano Mamy Baby alitoka radio 5 ya chugga
Basi ndo inaweza kuwa chanzo cha kuondoka kwenye ze comedy eatvdah umenisikitisha sana mkuu kwa taarifa hii..na ninaona ina ukweli ndani yake ..kuna siku nilikua pale maeneo ya maringo akatokea maeneo ya kawe na hiyo gari nyekundu fujo nyingi mtaani sauti kubwa sana...kama ni hvyo basi anajimaliza mwenyewe..
Ndio alikua anajiita masawe mtata ...Basi ndo inaweza kuwa chanzo cha kuondoka kwenye ze comedy eatv
ndio zao hizo .wanataka kuona wao wako juu tuMawingu ukiwakimbia, wanacho fanya ni kukurudisha kwa gharama yeyote, kisha ukisha rudi kwao wana hakikisha wanakumaliza kwa kila hali na mwisho wana kumimina kama tenga la nyanya mbovu....![]()
![]()
![]()
Dah nakumbuka enzi hizo akiwa ze comedy show alikua anafunika sana na ni mbunifu kiukweli..lakini uhuni pia anao sana tu hata kwa kumuangalia..nikikumbuka siku anatambulishwa clouds fm yupo tumbo waziMkuu huyo Jamaa ni ' Mwanangu ' sana tena tokea Mwananyamala enzi hizo na nimeandika hayo kwa ' masikitiko ' makubwa mno huwezi amini Mtu wangu. Na hatari zaidi ' akishalanduka ' tu basi ghafla hapo hapo anageuka ' ngumi jiwe / mgomvi ' sema uzuri wake hata ' Ugomvi ' nao anaujua vile vile kutokana na kwamba ni Mtoto wa Kisela sana halafu alishafanya ' matukio ' makubwa na ya kutisha sana pande za Mwananyamala na najua wapo humu Watu wa Mwananyamala wanaomjua ' Kindakindaki ' pia.
Narudia tena kusema na kusisitiza kuwa japo ana hayo ' mapungufu ' yake yote ila ' Jamaa ' ana ' Vipaji ' vingi sana na ni ' Mbunifu ' mno kiasi kwamba kama akipata Mshauri / Kiongozi / Msimamizi mzuri sisi Wasikilizaji wa Redio tutafaidika nae sana. Ushawishi wake mbele ya Jamii hasa ya Vijana ni kubwa mno. Personally namkubali kinomanoma!