DissDotCom
JF-Expert Member
- Mar 31, 2014
- 395
- 268
- Thread starter
- #21
yah ndio hivyo lazima wanyimwe labda waombe msamahaNaskia fiesta wamenyimwa chezea bashite
yah ndio hivyo lazima wanyimwe labda waombe msamahaNaskia fiesta wamenyimwa chezea bashite
ila sasa wenyewe wanaua vipaji kwa kukomeshana..Kila mtu anaangalia maslahi
ila hilo lilikua pigo kubwa sana pale EA RADIOHata Mami baby..Kennedy the remedy...George Bantu na Dj sinyorita waliwavuta hivyohivyo kutoka East Africa Radio...Clouds Bwana
kiaje yanNaskia fiesta wamenyimwa chezea bashite
Kubwa mtangazaji mwenyewe atambue thamani yakeila sasa wenyewe wanaua vipaji kwa kukomeshana..
Sana mkuu...nilihuzunika sana asee..ila ndio hivyo ushindani na maslahi utafanyaje sasa??ila hilo lilikua pigo kubwa sana pale EA RADIO
saana hapo ni sawa..ila nguvu ya pesa nayo ina nafasi yakeKubwa mtangazaji mwenyewe atambue thamani yake
mamy baby alikuwa ana host kipindi gani EAHata Mami baby..Kennedy the remedy...George Bantu na Dj sinyorita waliwavuta hivyohivyo kutoka East Africa Radio...Clouds Bwana
yah ni kweli..ila ndo naona umuhimu wa mikataba..kama wangekua namikataba wasingezungushwa zungushwaSana mkuu...nilihuzunika sana asee..ila ndio hivyo ushindani na maslahi utafanyaje sasa??
Cha saa tatu usiku jina limenitoka, pia weekend chat show jumamosi saa 12mamy baby alikuwa ana host kipindi gani EA
Kipaji na maslahi lazima viende sambambasaana hapo ni sawa..ila nguvu ya pesa nayo ina nafasi yake
Kweli kabisa mkuu..mikataba ni muhimu sanayah ni kweli..ila ndo naona umuhimu wa mikataba..kama wangekua namikataba wasingezungushwa zungushwa
the cruize..kipindi kikali sana ila hata kwasasa yupo queen fifi ana host vizuri sanaCha saa tatu usiku jina limenitoka, pia weekend chat show jumamosi saa 12
Na walioletwa pia nawakubali sana Queen Fifi, Jr junior na king smash aka MVPila hilo lilikua pigo kubwa sana pale EA RADIO
The cruisemamy baby alikuwa ana host kipindi gani EA
The Cruise alikuwa na Kennedy the remedy ndio akaja King smashmamy baby alikuwa ana host kipindi gani EA
ayaah yaaah ni FIRE hao watu kipindi kimekua kizuri sana kiukweli kumbe wewe nimdau kama mimiNa walioletwa pia nawakubali sana Queen Fifi, Jr junior na king smash aka MVP
The cruise zamani kilikuwa SAA moja mpaka SAA nne usikuCha saa tatu usiku jina limenitoka, pia weekend chat show jumamosi saa 12