Kumbe ni mkatoliki?!Kama kiongozi mkubwa wa mamlaka kisiasa unajengewa mazingira ya kuhudhuria ibada kwa wito wa kiongozi wako wa dini.. Kwakuwa unamheshimu sana unaitikia wito bila shuruti
Unapofika ibadani waraka unasomwa mbele ya waumini wote akiwemo kiongozi mkubwa kisiasa kisha naye anapewa nakala yake anaipokea kwa unyenyekevu na kuiweka upande wake wa kulia
Kiongozi wa dini anamuagiza mtumishi ampelekee tena kiongozi huyo wa kisiasa nakala nyingine, naye bila kubisha inabidi aipokee na kuiweka upande wake wa kushoto
Jumla anakuwa amepewa nakala mbili peke yake! Hivi kitaalam hii inaitwaje?[emoji848][emoji2827]View attachment 2733127
Busati ataipata bungeni, sio kanisaniKiongozi mkubwa kama huyu mumemuweka juu ya benchi wala sio juu ya busati.
Tz tumekuwa na vita vya wenyewe?TEC sio baraza la mambo ya kidini. Hao ni watu wenye mambo ya siri nje ya imani. Wanajua upigaji wao kwenye kupitisha vitu bandarini unafikia mwisho ndo maana wanakazana kupinga. Ogopa kanisa linaloweza kufadhili Civil Wars.
Bunge linalopelekeshwa, halipingi hata sheria lililopitisha lenyewe, kila Serikali isemalo ni 'ndioo'!Nani anahitaji waraka!?..tuna bunge na mahakama,wao waandaea divai na mikate ya kutosha kwa ajili ya waamini wao
Hii kitaalamu inatiwa, GOMA NA HUKU TUONEKama kiongozi mkubwa wa mamlaka kisiasa unajengewa mazingira ya kuhudhuria ibada kwa wito wa kiongozi wako wa dini.. Kwakuwa unamheshimu sana unaitikia wito bila shuruti
Unapofika ibadani waraka unasomwa mbele ya waumini wote akiwemo kiongozi mkubwa kisiasa kisha naye anapewa nakala yake anaipokea kwa unyenyekevu na kuiweka upande wake wa kulia
Kiongozi wa dini anamuagiza mtumishi ampelekee tena kiongozi huyo wa kisiasa nakala nyingine, naye bila kubisha inabidi aipokee na kuiweka upande wake wa kushoto
Jumla anakuwa amepewa nakala mbili peke yake! Hivi kitaalam hii inaitwaje?[emoji848][emoji2827]View attachment 2733127
Hilo lilishafafanuliwa sana kisomi hapa Jf na hiyo point yako siyo mantiki wala muktadha wa waraka wa Teki.TEC sio baraza la mambo ya kidini. Hao ni watu wenye mambo ya siri nje ya imani. Wanajua upigaji wao kwenye kupitisha vitu bandarini unafikia mwisho ndo maana wanakazana kupinga. Ogopa kanisa linaloweza kufadhili Civil Wars.
Kaa kimya watu wazima wakiongeaTz tumekuwa na vita vya wenyewe?
Hajaitwa kama kiongozi .. amehudhuria IBADA kama muumini.., nakala kapewa kama muumini,!!Kama kiongozi mkubwa wa mamlaka kisiasa unajengewa mazingira ya kuhudhuria ibada kwa wito wa kiongozi wako wa dini.. Kwakuwa unamheshimu sana unaitikia wito bila shuruti
Unapofika ibadani waraka unasomwa mbele ya waumini wote akiwemo kiongozi mkubwa kisiasa kisha naye anapewa nakala yake anaipokea kwa unyenyekevu na kuiweka upande wake wa kulia
Kiongozi wa dini anamuagiza mtumishi ampelekee tena kiongozi huyo wa kisiasa nakala nyingine, naye bila kubisha inabidi aipokee na kuiweka upande wake wa kushoto
Jumla anakuwa amepewa nakala mbili peke yake! Hivi kitaalam hii inaitwaje?[emoji848][emoji2827]View attachment 2733127
Nguruwe akishiba kazi yake kuachia ushuzi !! Hongereni wagawa makombo !!TEC sio baraza la mambo ya kidini. Hao ni watu wenye mambo ya siri nje ya imani. Wanajua upigaji wao kwenye kupitisha vitu bandarini unafikia mwisho ndo maana wanakazana kupinga. Ogopa kanisa linaloweza kufadhili Civil Wars.
Kama vip inamankuswekeTumetikisika au tumewaonesha kwamba si lolote
....Mama Samia Pole. Kwa ukishindwa Kuwathibiti Wapigaji ndio Umeamua ndugu zako Waendeshe Bandari ZETU Milele ?? [emoji35]TEC sio baraza la mambo ya kidini. Hao ni watu wenye mambo ya siri nje ya imani. Wanajua upigaji wao kwenye kupitisha vitu bandarini unafikia mwisho ndo maana wanakazana kupinga. Ogopa kanisa linaloweza kufadhili Civil Wars.
Yani hii inaitwa fear of the unknown, hayo mambo ya siri umeyajuaje boss? acheni kujudge kwa imaginations, hiyo ni kazi ya kishetani kufanya false accusation, misdirected anger.TEC sio baraza la mambo ya kidini. Hao ni watu wenye mambo ya siri nje ya imani. Wanajua upigaji wao kwenye kupitisha vitu bandarini unafikia mwisho ndo maana wanakazana kupinga. Ogopa kanisa linaloweza kufadhili Civil Wars.
Wewe na naniTumetikisika au tumewaonesha kwamba si lolote
Watu wanatetea maslahi yao kwa nguvu zote...TEC sio baraza la mambo ya kidini. Hao ni watu wenye mambo ya siri nje ya imani. Wanajua upigaji wao kwenye kupitisha vitu bandarini unafikia mwisho ndo maana wanakazana kupinga. Ogopa kanisa linaloweza kufadhili Civil Wars.
TEC sio baraza la mambo ya kidini. Hao ni watu wenye mambo ya siri nje ya imani. Wanajua upigaji wao kwenye kupitisha vitu bandarini unafikia mwisho ndo maana wanakazana kupinga. Ogopa kanisa linaloweza kufadhili Civil Wars.
Umeusoma waraka husika ama unajibu usichokijua?