Ubabe huu wa TEC

Hakuna ubabe hapo, hapo kuna mfa maji haishi kutapatapa, dunia inaondokana na utawala wa siri wa kirumi unaoongozwa na vatikano kupitia kanisa katoliki. Sasa zamu ya wafaransa kupigwa chini kote ulimwenguni wanapokula kodi za watu, zinazoishia kuineemesha vatikano.
 
unakuja utawala wa waarabu siyo
 
Imeshaingia sumu
Umechelewa jamvini karamau imeshaliwa, jana Spika Tulia kwatuliza utamu kweli.

Kawaambia kwa sasa hakuna mjadala wa IGA ilishatoka hiyo, sasa sibirini utekeleza wa uendeshaji bandari ndiyo mje kujadili uendeshaji.

Hiyo inaitwa Tulia ball.
 
Hawa TEC inabidi ujilazimishe kuwakubali bibi, hawa wanakuongoza kinamna hata kama huwapendi, niamini.

Wewe ulichopewa ni mdomo tu wakuwasema, lakini wao kwenye vitendo ndio wanakutawala, na hili unalijua vizuri sana tu, ndio maana kila siku huwa mnalia nchi kuongozwa na mfumo Kristo.

Sasa hao wanaowaongoza kusema wanaanguka ni kujidanganya tu, hata huyo Tulia nae anaujua ukweli, jana kugoma yale mabadiliko ya sheria ya maliasili ambayo yangemfanya mwarabu aje kujitawala Tanganyika, anajua vizuri ni hao TEC ndio chanzo.
 
Umechelewa jamvini karamau imeshaliwa, jana Spika Tulia kwatuliza utamu kweli.

Kawaambia kwa sasa hakuna mjadala wa IGA ilishatoka hiyo, sasa sibirini utekeleza wa uendeshaji bandari ndiyo mje kujadili uendeshaji.

Hiyo inaitwa Tulia ball.
Sio kwa typing error nyingi kiasi hiki... Unatumia simu gani? Au mikono inatetema? Au miwani ime expire? Pitisha bakuli tukuchangie hatuna hiyana! Mimi naanza nitatoa £50
 
Utawasikia watu wa munyaazi mungu "Mwanamke wa kiislamu ni kufuru kushikwa mkono na mwanaume asiye mume wake"
Umechelewa jamvini karamu imeshaliwa.

Kuna kitu kinaitwa mkono wa faraja "helping hand", usisahau hilo, ikiwa ukisoma huelewi basi hata picha huoni?

Kausome Uislam kijana, ni mwema sana, haujaacha kitu.
 
Thread zenu zimekula vichwa vya watu
Out of the Top: Thread zenu zimekula vichwa vya watu.

Lakini mabadiliko hayo ni sawa na kuweka kiraka kipya kwenye nguo chakavu!

Ninamaanisha kwamba hivi Wizara ya Nishati ina "udole" wa kufanya wanayofanya bila kuhusianishwa na Wizara ya Fedha?

Kwanini Wizara ya Fedha isitikiswe?

Majaliwa aanze kupaka povu la sabuni kichwani kwake, appron ya kukinga uchafu tayari kwa kunyolewa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…