Kama hoja ya mwandishi. Mimi simo sana kwenye siasa, lakini lazima ifike mahali tukubali yako mambo ambayo ni kwa ajili ya national interest. Hata hao mnaowashangiloa huko ulaya kwa wanayotufanyia wana mipaka yao kwenye masuala ya kitaifa. Ni hilo tu mkuu.kaa ipi?
Kwanza wewe ni mjingaa hunielewi na Wala haujitambui..nadhani utakuwa huna maelewano mazuri na mmeo mama.. chombo gani hapa duniani chenye kutoa Haki ya kisheria..hii nayo hujui..au unadhani mtu anajiamulia tu kwamba halipi Deni...kazi ipo kweli ya kufundisha na sio kuelumisha Hawa manyumbuu..na kazi hii ya kufundisha tutaendelea nayo mpaka mnyooke shwainnnn....yy..eti upinzani..hivi kweli TZ Kuna upinzani au upingaji..wapinzani wa ukweli ni wale walioelewa Nini nchi yetu tunataka, na baada ya kuona yanatekelezwa kwa uzalendo tu wakaamua kujiunga na timu ya Magufuli ili kuunganisha nguvu kwenye mapambano..hao wengine huko no wachumia tumbo tuu..wanatafuta mkate wa watoto..hawana lolote..asilimia 90 ya wananchi wapo nyumba ya jembe ulaya Magufuli,, upoooMnataka tuwe wazalendo hadi kwenye dhuluma?
Yaani mnalia mkiomba sympathy kwa sababu ya tabia zenu za kutotii utawala wa sheria?
Kumbe tabia haina dawa, mmezoea kuonea Wapinzani na kuwafanyia kila aina ya ubabe, sasa mmelewa na kudhani kila mtu ni wa kuonea tu, safari hii mmekwama kabisa .
Tatizo liko wapi? Kiburi cha kugoma kufuata utawala wa sheria tu? Nyie si mnadaiwa bana? Lipeni deni no way!
Serikali ya awamu ya kwanza hadi ya nne zote zilikuwa zikilipa hilo deni kwa awamu, serikali hii ya awamu ya tano ikagoma kulipa na kumtimua Stern Tanzania.
Hii maana yake ni kwamba Stern angekuwa raia wa Tanzania asiye na uwezo wa kukimbilia popote na kujihifadhi angepotea kama Azory Gwanda au Ben Saanane.
Kwa hiyo mmeonewa sana si ndiyo? Yaani hilo deni mmebambikwa tu na watu wenye wivu na maendeleo makubwa ya Tanzania, si ndiyo?
Acheni kulidhalilisha taifa zuri la Tanzania, mbona hata Marekani inadaiwa pamoja na utajiri wake? Nyie ni nani hadi msidaiwe?
Yaani mnaandamana ili kupinga kudaiwa? Kwa sababu mmepanga kudhulumu, mkiitwa shithole mnakuja juu kwa hasira.
South Africa mliweza kucheza sarakasi lakini kwa Canada mmekwama, lipeni deni la watu mtutolee hii fedheha.
Uzalendo sio kudhulumu haki ya mtu.
Bloody idiot!!
Mkulima alipwe bwana msije kutufundisha uovuNi kuipenda nchi yako kwa dhati ya moyo wako, hivyo kutanguliza mbele maslahi ya taifa kuliko hata maslahi binafsi.
Kama ilivyo katika ngazi ya familia, Baba wa familia akifanya kosa akatiwa ndani, huwezi kufurahia hata kama ni kweli baba yako ni mkosaji.
Hivyo kwenye hili la ndege, japo ni kweli tunadaiwa, lakini Mtanzania Mzalendo wa kweli wa taifa lake hawezi kufurahia, kushangilia, kubeza na kukejeli ndege ya taifa lake inapokamatwa, hili ni janga la kitaifa.
Huu ni uzalendo wa ajabu
Uzalendo wa ajabu wa watanzania, unafurahije wakati nchi yako imepata majanga. Hawa ni ma nunda, ma sadist or what?
Wanabodi, Jumatatu ya leo, nimeipata tena fursa ya kuendelea na zile makala zangu za kwa Maslahi ya Taifa. Leo nazungumzia Uzalendo wa Ajabu wa Watanzania, nchi yako inapatwa na majanga, halafu wewe unafurahi, huu ni Uzalendo wa aina gani?. Kiukweli huu ni Uzalendo wa Ajabu Kabisa kuwahi...www.jamiiforums.com
P
Ushirikiano mzuri kwa serikali yetu usio wa kinafiki, ni kuishauri vizuri serikali yetu. Kutoa ushauri utakaotatua tatizo once and forever.Japo ni kweli tunadaiwa, na siku zote dawa ya deni ni kulipa, lakini kukamatwa au kuzuiliwa kwa ndege yetu ni janga kwa taifa letu. Watanzania tunapaswa kuwa wamoja katika hili, kushirikiana na serikali yetu kwa moral support ndege yetu inasuliwe, lakini kunaonekana kama kuna uzalendo wa ajabu wa watu kufurahia na kuliongelea kiushabiki majanga kwa nchi yako
Uzalendo wa ajabu wa watanzania, unafurahije wakati nchi yako imepata majanga. Hawa ni ma nunda, ma sadist or what?
Wanabodi, Jumatatu ya leo, nimeipata tena fursa ya kuendelea na zile makala zangu za kwa Maslahi ya Taifa. Leo nazungumzia Uzalendo wa Ajabu wa Watanzania, nchi yako inapatwa na majanga, halafu wewe unafurahi, huu ni Uzalendo wa aina gani?. Kiukweli huu ni Uzalendo wa Ajabu Kabisa kuwahi...www.jamiiforums.com
P
Haki gani mama bana..Haki inapatikana mahakamani na sio huku mitaani..Kama mahakamani anashindwa kupata Haki hiyo anayoidai Basi tunaamini hakuna Haki yoyote hapo... Lingekuwa Deni Halalli lingeandikwa kwenye vitabu vya madeni tangu kipindi Cha baba wa Taifa..Sasa iweje Leo liwe halali na wakati wa Nyerere sio halali..kwanini hawakumalizana mahakamani kipindi hicho...tumegundua na Haina shaka kabisa hii ni biashara ya mabeberu ya kutaka kuturudisha nyuma..they want to shake our economy..and this will never happen under the current leadership..Ehh Mwenyezi Mungu umtangulie mkulima Stern apate haki yake.🙏🏾
Mungu wabariki WazunguHapa hao watenda dhambi, zuluma na wauaji, hapa wamefika mwisho, kule south africa walicheza game, canada NGO, mpaka watalipa huyu kaburu na pamoja na intrest ya hio hela, huyu kaburu sio mjinga hata sekunde moja, watajua hao ccm ya kuwa hawajui, huyu kaburu sio ben saanane au azory
Unadhani kwanini Kama Deni lipo halikuweza kulipwa katika awamu nne zote zilizopita..tuanzie hapo.kudadavua kabla hatuja shauri Sasa kulipwa kwa Deni hewa Hilo.Pascal Mayalla,
Huwa nasikia waswahili wanasema, adui yako muombee njaa, nadhani wanaofurahia ni wale wanaye muombea Rais Magufuli njaa.
Ndege ni zao au zetu? Huwa naona kila zikija wanachama wa ccm ndio hualikwa, nahisi hawa ni zao, sasa wale wanaokosa mualiko nadhani ndio hufurahia.
Haya mambo ya jinsi gani watu wanapokea nadhani yako binafsi sana, hata wanaofurahia au kushangilia mtanange huu hawabadili chochote, the fact kwamba tunadaiwa.
Nadhani wangelipa tu ili kuondokana na fedheha hii.
Mkuu Jidu,una akili sana,komenti yako hii imeshiba sana,.huyo Pascal Mayala siku hizi kazeeka,haoni mbele.Mkuu inafika mahala unafiki haulipi.
Mtu wa kawaida atajiiliza yafuatayo;
Kwa kifupi Pasco, hapo inahitajika akili ya ziada na uzalendo hautairudisha ndege bali strategic business thinking.
- Kuna deni au hakuna deni?
- Je huko Sauzi ndege iliachiwa on technical grounds ya kesi yenyewe au Mkulima alionekana hatudai?
- Kuikamata ndege sasa huko Canada si Mkulima alikuwa na grounds ku convice mahakama huko Canada kufanya hiyo?
- Je, Serikali yetu imesha kaa chini na huyu Mkulima ku settle out of court?
- Kuna uhakika gani kuwa ndege nyingine haitakamatwa katika mazingira ya kupuuza madeni ambayo korti za nchi nyingine zinaona ni halali?
- Kuingiza siasa kuwa eti tuwe na uzalendo dhidi ya ubeberu mi naona hapa si mahali pake, watu hawafanyi kazi watarajiwayo kufanya, bla bla aint making it.
Kina Kabudi kujipiga kifua haisaidii sana.
Accounts to God's words,nawe wafaa uende hukohuko...Pascal Mayalla,
My brother pascall, we were not happy coz of our plane being detained in south africa, no no no, we were happy coz this awamu ya tano thinks that they are clever than even God himself, if you see a president who kills, orders 37 bullets to be pumped into an opposition mp, orders the military to buy korosho yet korosho is nowhere near things like rockets, sumarines or fighter jets,a president who denies people right to express themselves, what else do you expect from the majority of those who such a dictator president is opressing??? i can tell you pascal my brother for free, lots of us will be more than happy if God sends this person(you know who i am talking abaut) to hell fire where he RIGHTFULLY BELONGS, nice weekend bro
Majukumu ya wapinzani hapa Tz ni kuchukua tahadhali wasibambiwe Kesi Mahakamani, wasitekwe au wasimiminiwe risasi na watu wasiojulikana, wasikamatwe na kuswekwa ndani kwa kosa la vikao vya ndani.kwa bahati mbaya mno, wapinzani hapa nchini bado hawajatambua majukumu yao kama vyama vya upinzani, sasa ukiwa na watu wa aina hii ambao bado hawajajitambua ni hatari.
Nieleweshe kidogo mkuu, ndege imekamatwa tena kwasababu ya deni la mkulima au ni deni lingine?Mnataka tuwe wazalendo hadi kwenye dhuluma?
Yaani mnalia mkiomba sympathy kwa sababu ya tabia zenu za kutotii utawala wa sheria?
Kumbe tabia haina dawa, mmezoea kuonea Wapinzani na kuwafanyia kila aina ya ubabe, sasa mmelewa na kudhani kila mtu ni wa kuonea tu, safari hii mmekwama kabisa .
Tatizo liko wapi? Kiburi cha kugoma kufuata utawala wa sheria tu? Nyie si mnadaiwa bana? Lipeni deni no way!
Serikali ya awamu ya kwanza hadi ya nne zote zilikuwa zikilipa hilo deni kwa awamu, serikali hii ya awamu ya tano ikagoma kulipa na kumtimua Stern Tanzania.
Hii maana yake ni kwamba Stern angekuwa raia wa Tanzania asiye na uwezo wa kukimbilia popote na kujihifadhi angepotea kama Azory Gwanda au Ben Saanane.
Kwa hiyo mmeonewa sana si ndiyo? Yaani hilo deni mmebambikwa tu na watu wenye wivu na maendeleo makubwa ya Tanzania, si ndiyo?
Acheni kulidhalilisha taifa zuri la Tanzania, mbona hata Marekani inadaiwa pamoja na utajiri wake? Nyie ni nani hadi msidaiwe?
Yaani mnaandamana ili kupinga kudaiwa? Kwa sababu mmepanga kudhulumu, mkiitwa shithole mnakuja juu kwa hasira.
South Africa mliweza kucheza sarakasi lakini kwa Canada mmekwama, lipeni deni la watu mtutolee hii fedheha.
Uzalendo sio kudhulumu haki ya mtu.
Hii comment yako ibebeba busara nyingiMy Son drink water, Kuna baadhi ya mitazamo huondoa credit kwa wapinzani
Mkuu Paskali! Kama katika ngazi ya familia baba kalewa madaraka ya ubaba, watoto kila siku mnatukanwa na kula kichapo kila siku akitokea mmbabe wa baba yako Huwezi kwenda kujificha Jamiiforums kumfurahia mmbabe wa baba yako?Ni kuipenda nchi yako kwa dhati ya moyo wako, hivyo kutanguliza mbele maslahi ya taifa kuliko hata maslahi binafsi.
Kama ilivyo katika ngazi ya familia, Baba wa familia akifanya kosa akatiwa ndani, huwezi kufurahia hata kama ni kweli baba yako ni mkosaji.
Hivyo kwenye hili la ndege, japo ni kweli tunadaiwa, lakini Mtanzania Mzalendo wa kweli wa taifa lake hawezi kufurahia, kushangilia, kubeza na kukejeli ndege ya taifa lake inapokamatwa, hili ni janga la kitaifa.
Huu ni uzalendo wa ajabu
Uzalendo wa ajabu wa watanzania, unafurahije wakati nchi yako imepata majanga. Hawa ni ma nunda, ma sadist or what?
Wanabodi, Jumatatu ya leo, nimeipata tena fursa ya kuendelea na zile makala zangu za kwa Maslahi ya Taifa. Leo nazungumzia Uzalendo wa Ajabu wa Watanzania, nchi yako inapatwa na majanga, halafu wewe unafurahi, huu ni Uzalendo wa aina gani?. Kiukweli huu ni Uzalendo wa Ajabu Kabisa kuwahi...www.jamiiforums.com
P
Wewe ni mjinga kweli kweli, hata hai mnaowalilia wana mipaka. Yaani mmekuwa wajinga kiasi hiki kwa siasa za kishenzi. Sasa hakuna Tanzania tena bali ni kundi la panya road. Mnawekana jchi kwa mambo ya chumbami, kisa kutofautiana mitazamo?Credit ya wajinga haina mashiko
Ninyi ni taifa la wajinga
Kati ya ujinga unaowaandama wanaoitwa wapinzani ni kuona kama fedha zinazolipwa au majanga yakitokea zinaathiri viongozi wakuu wa awamu ya tano. Enyi wajinga, waathirika wakubwa ni nyie! Na ugumu wa maisha unazidi kuangukia kwenu. Mkulima akilipwa ni fedha amabyo angalau ingenunua dawa ya malaria ya kumtibu ndugu yako au wewe mwenyewe. Unajionea janga mwenyewe? Halafu watu wa aina hii ndiyo wanasema wanataka uchaguzi uwe huru na haki ili waingie madarakani. Mtu mwenye akili finyu kama wewe akipewa madaraka nchi ataipeleka wapi kwa ubinafsi ulivyomjaa? Serikali ina haki zote kuhakikisha wabinafsi kama ninyi mnapotea kwenye uhai wa siasa za nchi.Ehh Mwenyezi Mungu umtangulie mkulima Stern apate haki yake.🙏🏾
Japo ni kweli tunadaiwa, na siku zote dawa ya deni ni kulipa, lakini kukamatwa au kuzuiliwa kwa ndege yetu ni janga kwa taifa letu. Watanzania tunapaswa kuwa wamoja katika hili, kushirikiana na serikali yetu kwa moral support ndege yetu inasuliwe, lakini kunaonekana kama kuna uzalendo wa ajabu wa watu kufurahia na kuliongelea kiushabiki majanga kwa nchi yako