Ubabe hadi Canada? This time you're done

Duu lipeni madeni
 

Attachments

  • IMG_20191123_175204.jpg
    19.6 KB · Views: 13
Ishauri serikali ilipe deni na kutatua mgogoro kwa njia sahihi, kukwepa tatizo kwa ujanja ujanja ni kuliongrza na si kulitatua..
 
Nilidhani naongea na mtu sensible kumbe ni hao wa ndio! Kwaheri!
Wewe ndio una kasoro kichwani. Unaanzaje kuchanganya siasa na maslahi ya taifa? Unajua hata hicho kisa cha huyo mzungu na historia yake ya kusaka pesa kwa ujanja ujanja? Jielimishe, usisombwe na upepo usioujua
 
Wahenga walisema DAWA YA DENI KULIPA TU HAKUNA NAMNA NYINGINE.
 
Hicho kinaitwa KISWANGLAND looohl!!!
 
Kitendo cha serikali ya Magufuli kugoma kulipa hilo deni bila kufuata sheria ni kusababisha janga kwa Taifa. Mwishoni tunalipa deni, penalty na kudhalilika juu...propaganda hazitaondoa ukweli mchugu ya kuwa tunadaiwa
 
Mkuu Pascal Mayalla siipendi ccm lakini kwenye mambo kama haya nipo pamoja na serikali yangu na hapa ndipo wapinzani wanakuwa wapingaji wa maendeleo yetu
1 Wafalme 3:24

Mfalme akasema, Nileteeni upanga. Wakaleta upanga mbele ya mfalme.

1 Wafalme 3:25




Mfalme akasema, Mkate mtoto aliye hai vipande viwili, kampe huyu nusu, na huyu nusu.

1 Wafalme 3:26

Ndipo mwanamke yule, ambaye mtoto aliye hai ni wake, akamwambia mfalme kwa maana moyoni mwake alimwonea mtoto wake huruma, akasema, Ee bwana wangu, mpe huyu mtoto aliye hai, wala usimwue kamwe. Lakini yule mwingine akasema, Asiwe wangu wala wako; na akatwe.

1 Wafalme 3:27

Ndipo mfalme akajibu, akasema, Mpe huyu wa kwanza mtoto aliye hai, maana yeye ndiye mama yake.
 

Ndo tulipe, huu ndio uzalendo wetu
 
Kwanini Ushindi wa 99.9 hau reflect umoja wa kitaifa?

Tukivamiwa hata na burundi tunaweza kuchezea kichapo heavy!!
 
Mwenye kasoro kichwani ni wewe, hivi mtu anaweza kukurupuka tu na kuishtaki nchi, Taifa, serikali, Jamhuri hovyo hovyo tu?
Hiyo ndege haikanyagi Tanzania bila kulipa deni, Serikali ya kidikteta,dhulumati acha ifundishwe adabu
Ok
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…