Ubabaishaji na Utapeli benki ya CRDB

Usinambie hadi Newala kuna CRDB,! Basi sawa.
Nami nashangaa. Huwa naona wana ile gari yao ya mobile banking labda ndio walioshughulikia huo mkopo, ila tawi kwa pale Newala la CRDB sidhani kama lipo.
 
Jana amefanya mawasiliano na makao makuu kupitia ile namba ya huduma kwa wateja ila chenga zinaendelea.... Nafikiri afungue kesi kuwanyoosha

aanze na meneja wa tawi akileta chenga hapo kitakachobaki afungue kesi dhidi yao hakuna namna
 
Ila na wewe ni wa ajabu,unaona ni sawa mtu kukatwa mshahara wake bila kupewa mkopo?

Tusitetee ujinga lzm CRDB wakili kua huo ni uzembe wa hali juu.
Ndo maana anasema mtoa mada mwnyw co mfikwa na tatizo, hayo matatizo ni ya kawaida kwakuwa lina soln, yeye huyo aende bank tena kwa credit officer atashighulikiwa sio kulalamika with no soln
 
Hili ndio tatizo kubwa, and alarming.
BOT msilale sana
Utaonekana mburula kama kitu kinafanywa na system kwa matumizi yako mwenyewe ambayo sometimes hayako kimpangilio,
kwa mf mtu ana masrercard ya NMB, kwa kuwa ni mastercard basii ww unaenda kutoa hela kweny atm ya CBA unategemea nn, kama si kukatwa tu.
 
Nami nashangaa. Huwa naona wana ile gari yao ya mobile banking labda ndio walioshughulikia huo mkopo, ila tawi kwa pale Newala la CRDB sidhani kama lipo.
kwahyo unasema jamaa kakurupuka.
 
Ila hilo jambo sio kwenyemikopo ata kwa account za serving wanajikatia hela za watu wanavyotaka
Jamani ebu tupunguze kua tuna lalamika aiseeee...
Hivi hata jambo la wazi namna hii na ikiwa unao ushahidi, unaogopa nili kiwapeleka mahakamani?
Huu ni wizi tena wa mchana peupeee na jua likiwaka
 
Jamani ebu tupunguze kua tuna lalamika aiseeee...
Hivi hata jambo la wazi namna hii na ikiwa unao ushahidi, unaogopa nili kiwapeleka mahakamani?
Huu ni wizi tena wa mchana peupeee na jua likiwaka
Mahakamani unazunguka sana na ww, aliyekatwa aende branch atapata msaada, kuna maexpert kibao wa izo kitu huko branch.
 
AHAHAHAHA AH BENKI WAKUKATE HUKU KAZINI WANIBEBEE 100 .50.200 LOLZ NAWAKOMALIA SALARY SLIP YANGU INALETAGA UTATA MARA KWA MARA
Na usawa huu wa Pombe, hatuibiwi kizembezembe namna hiyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…