Hivi unajua kwamba kwa sheria za marekani zilivo mtu ukifanya offence mara kadhaa unakuwa banned kuajiriwa popote pale nchini marekani... sasa wengi ndio hao unaowaona barabarani...Marekani nchi tajiri wananchi wengi masikini wana lala barabarani nchi za uarabuni kama UAE SAUDIA KUWAIT OMAN QATAR nchi hizi huwezi kukumkuta mwananchi maskini au kalala nje
Hata ulaya waliruhusu demokrasia baada ya Maendeleo kuingia
[emoji22][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Takbiiiirrrrrr
Utajiri wa mwarabu ni kutokana na mafuta ambayo hajatumia akili yake kuyapata, ndio maana mwarabu kutumia pesa kwake siyo shida kwa sababu ni easy money. Pamoja na hayo utajiri wa mwarabu mara nyingi hushikiliwa na familia chache hivyo kufanya wengi kuishi kwa huruma ya wachache. Waarab wetu huku ndio walikuwa mabingwa wa uwindaji haramHizi nchi za kiarabu wapo mbali sana kimaisha ndio maana mmarekani anawaonea wivu na kutaka mali zao haishi kuwachonganisha na kuwaletea vita isiokuwa na sababu . utaliikama watalii wakiarabu moja tu anaekuja ngorongoro sawa na watalii wa kimarekani kumi kwa matumizi. Mmarekani ananunua soda moja wanagawana 3 mmarekani wanachanga kwa pamoja watu kumi wanachukua gari kuwatembeza mbuga za wanyama mwarabu anachukua pekee yake nenda kaulize huko serengeti na manyara utaambiwa
Nigeria ana mafuta ila Ukifika Lagos utadhan hawana mafuta. Umeme wa kupima, barabara mbovu na rushwa kama yoteUtajiri wa mwarabu ni kutokana na mafuta ambayo hajatumia akili yake kuyapata, ndio maana mwarabu kutumia pesa kwake siyo shida kwa sababu ni easy money. Pamoja na hayo utajiri wa mwarabu mara nyingi hushikiliwa na familia chache hivyo kufanya wengi kuishi kwa huruma ya wachache. Waarab wetu huku ndio walikuwa mabingwa wa uwindaji haram
Kile ki TV cha propaganda kikawa kinaonyesha Rwanda genocideMkichagua wapinzani wataleta vita unanikumbusha old jokes!
USA ni Uarabuni?Vp kusu USA
Nimetembea na kuishi nchi kadhaa za Qatar, UAE, Oman, Saudi Arabia na Bahrain sikuwahi kuona wazawa maskini pia hakuna NGO's kama Afrika pia hakuna kinachoitwa "Demokrasia". Afrika 24/7 kiongozi wa chama cha upinzani ni kupinga tu. Ila huyo kiongozi analipwa posho za ubunge kwa kodi za wananchi. Inasikitisha sana
Mnakuwa wepesi kulinganisha lakini wavivu wa kusoma. Nendeni mkasome kwanza historia zao.Amesema Uarabuni, soma kichwa cha habari, isitoshe Wasomali siyo Waarabu!
Ufalme so what?Hapo nchi ulizotaja hapo zinaongozwa kifalme kwani Tanzania inaongizwa kifalme
Bora tubaki na Chama kimoja tu kuliko utitiri huu usiosaidia mwananchi mnyongehakuna democracy ni sawa ila pia si roho mbaya kama mulivyo nyinyi.Yaani hapa kibakie chama kimoja utatolewa ndani ya nyumba ukapokee ndege.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mnabishana bure. Demokrasia bila kufanya kazi kwa bidii na kuacha ufisadi ni kazi bure. Na udikteta bila kufanya kazi kwa bidii na kuacha ufisadi ni bure. Na udiktekta ukienda pamoja na kufanya kazi kwa bidii na kuacha ufisadi unaleta maendeleo. Na demokrasia ikienda pamoja na kufanya kazi kwa bidii na kuacha ufisadi inaleta maendeleo. Kitu common kwenye hali zote maisha ni kufanya kazi kwa bidii.Kwa hiyo unataka kusema nini?ya kwamba utawala wa kimabavu ndio unaleta maendeleo?
Mbona africa imejaa umasikini wa kutisha wakati ndio sehemu iliyo jaa udkiteta?kuliko eneo lolote duniani?
Sasa nyingine ukitaka kuongea kitu jifikirie kwanza.
Wapo Masikini tena Ombaomba kabisa kwenye hizo Nchi ulizotaja.Nimetembea na kuishi nchi kadhaa za Qatar, UAE, Oman, Saudi Arabia na Bahrain sikuwahi kuona wazawa maskini pia hakuna NGO's kama Afrika pia hakuna kinachoitwa "Demokrasia". Afrika 24/7 kiongozi wa chama cha upinzani ni kupinga tu. Ila huyo kiongozi analipwa posho za ubunge kwa kodi za wananchi. Inasikitisha sana