Zero One Two
JF-Expert Member
- Sep 16, 2007
- 9,346
- 3,033
Weka na uthibitisho wa mfano wa thread moja wapo,la sivyo nawe thread yako itakosa wachangiaji.
Lazima twende na mifano.
Sababu mpangilio mbovu ktk uanzishaji wa thread haufanyi sababu ya kukosa wachangiaji,
Bali urudiwaji wa thread zilizopita nadhani ndio hufanya wachangiaji kugwaya.
Mimi langu ni hilo,
mwingine aendelee...
Weka na uthibitisho wa mfano wa thread moja wapo,la sivyo nawe thread yako itakosa wachangiaji.
Lazima twende na mifano.
Sababu mpangilio mbovu ktk uanzishaji wa thread haufanyi sababu ya kukosa wachangiaji,
Bali urudiwaji wa thread zilizopita nadhani ndio hufanya wachangiaji kugwaya.
Mimi langu ni hilo,
mwingine aendelee...
Za maalwatani wa chit chat zinatembea balaa hata kama ni pumba
Ni kweli mkuu, ila kuna mi thread inadola sana, so inajaza nafasi
Kweli mkuu watu wanapenda ujiko
Ndugu wana Jf hasa wana Chit-Chat , tuweni na mpangilio wa kuanzisha thread, na sio tu ukijisikia kuanzisha thread basi unaanzisha na matokeo yake tunakuta hata baadhi ya thread hukosa wachangiaji, hili hatupendi wengine kuona katika thread wachangiaji ni 13 au 11 hii inakua haipendezi sana. Na hili linatokana na uanzisha wa thread kua nyingi kupita kiasi kwa siku moja
Hiyo inapunguza utamu humu ndani kwa sie tunao penda kuchangia
Chota bombani
We ndo kiboko wa kuanzisha threads
"Basi, mbona wakitazama
kibanzi kilicho ndani ya jicho la ndugu
yako, na boriti iliyo ndani ya jicho lako
mwenyewe huiangalii? au utamwambiaje
nduguyo, niache nikitoe kibanzi kilicho
jichoni lako na kumbe kuna boriti katika
jicho lako mwenyewe? Mnafiki wewe, itoe
boriti katika jicho lako wewe mwenyewe
ndipo utakapoona vema kukitoa kile kibanzi
katika jicho la ndugu yako"
Tafadhali mkuu si maneno yangu bali ni Biblia Takatifu ndio inasema.......
Nenda dawasco