Uandishi katika utandawazi wa Wikipedia

James Njenga

New Member
Mar 3, 2017
3
0
Mu vipi wangwana? Ningependa kujua kama mna waandishi hapa katika utandawazi wa Wikipedia ya Kiswahili. Mimi ni mwandishi humo na nimeng'amua kwamba wengi wanaohariri ni wazungu. Yafaa sisi kama wenyeji wa Kiswahili kuwa mstari wa mbele katika kuandika. Hamna kwa mfano makala kuwahusu waandishi gwiji kama Ken Walibora, Said Ahmed Mohammed, mwanablogu Issa Michuzi. Twafaa tufanye mambo. Ili pia tupate backlinks
 
Well said mkuu, unganeni kwa umoja wenu halafu muwasiliane na wikipedia
 
Classmate wangu huko ughaibuni alikuwa anaitwa James njenga alikuwa Mkenya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…