Uandishi katika utandawazi wa Wikipedia

Uandishi katika utandawazi wa Wikipedia

James Njenga

New Member
Joined
Mar 3, 2017
Posts
3
Reaction score
0
Mu vipi wangwana? Ningependa kujua kama mna waandishi hapa katika utandawazi wa Wikipedia ya Kiswahili. Mimi ni mwandishi humo na nimeng'amua kwamba wengi wanaohariri ni wazungu. Yafaa sisi kama wenyeji wa Kiswahili kuwa mstari wa mbele katika kuandika. Hamna kwa mfano makala kuwahusu waandishi gwiji kama Ken Walibora, Said Ahmed Mohammed, mwanablogu Issa Michuzi. Twafaa tufanye mambo. Ili pia tupate backlinks
 
Well said mkuu, unganeni kwa umoja wenu halafu muwasiliane na wikipedia
 
Classmate wangu huko ughaibuni alikuwa anaitwa James njenga alikuwa Mkenya
 
Haya basi, waandika kuhusu maswala yepi. Mimi naandika kuhusu waandishi gwiji wa Kiswahili
Nimeandika kidogo kuhusu wasanii (hasa wa filamu), na watu maarufu. Ila nimekuwa nikifanya kama leisure tu sijatilia mkazo sana...
 
Back
Top Bottom