Uandishi huu wa kubadili maneno unakera sana

Uandishi huu wa kubadili maneno unakera sana

Juzi hapa kuna mtu kaleta uzi kuwa uandishi wa maneno kama
xaxa, xio, xo, e.t.c ni dalili za ushoga!
Sasa kuna uandishi mwingine umeibuka ambao nadhani ni zaidi ya huo hapo juu!
Nimekutana nao fb umenikera kwa kweli! Nilikuta mtu kaandika

N0um3r qw3l1 mch121 w4n9u

akimaanisha "noma kweli mchizi wangu"
sio siri huu uandishi unakera sana!
Ni uandishi wa kipuuzi kabisa kuwahi kujiri. Labda kama ni dhamira ya kijeshi kuna codes zake za kutafsiri lakini kama hakuna ulazima ni ujinga.
 
Juzi hapa kuna mtu kaleta uzi kuwa uandishi wa maneno kama
xaxa, xio, xo, e.t.c ni dalili za ushoga!
Sasa kuna uandishi mwingine umeibuka ambao nadhani ni zaidi ya huo hapo juu!
Nimekutana nao fb umenikera kwa kweli! Nilikuta mtu kaandika

N0um3r qw3l1 mch121 w4n9u

akimaanisha "noma kweli mchizi wangu"
sio siri huu uandishi unakera sana!


Kama unavyodai mwenyewe kuwa umekuta upuuzi huu Facebook, kule ni kwa ajili ya watoto na ndiyo maana hata mwenyewe aliyeanzisha hii alikuwa ni teen ager na alianzisha kwa mantiki ya kushare upuuzi na wenziwe ila si vitu vya maana. Mi naona ungerudisha hii hoja huko FB.
 
Ayaaaaaa, nia savali usingesema! how dare u bro!??



Kutokuelewa ama Kuelewa?



Hapo nahisi pronunciation yako imetamka, "mental"

nilipita pale ofisini kwako ila sikuwa na namba ya simu yako, afu ikatokea gari kumbe ni mzee mtambuzi akanipeleka bandarini pale azam, alinichambaje mpaka nikakoma mzee yule. eti nakuja mjini kimya kimya, nisamehe sana mkuu ila nakuja tena soon
 
Hata wadada wanaotumia ni hawa wa Elimu ya kujua kusoma na kuandika(Form four).

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
juzi hapa kuna mtu kaleta uzi kuwa uandishi wa maneno kama
xaxa, xio, xo, e.t.c ni dalili za ushoga!
Sasa kuna uandishi mwingine umeibuka ambao nadhani ni zaidi ya huo hapo juu!
Nimekutana nao fb umenikera kwa kweli! Nilikuta mtu kaandika

n0um3r qw3l1 mch121 w4n9u

akimaanisha "noma kweli mchizi wangu"
sio siri huu uandishi unakera sana!

haaaaaaaaaaaaaaaaaaa!
 
Sa hio style inahusianaje na ushoga???......acheni kutusi watu nyie ..unajuaje labda na wewe kuna vitu unafanya mtaabi watu wanakudescribe kama shoga??
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom