Fredrick Nwaka
Member
- Jul 8, 2013
- 47
- 65
Dunia imebadilika na sisi kama watanzania hatujawa nyuma ya baadhi ya mabadiliko.
Kusema ukweli uandishi wa message au jumbe fupi za maandishi kwa baadhi ya watu unakera hasa mnapokuwa mnajadili serious issues.
Unakuta mtu badala ya kuandika basi anaandika bac, cm badala ya simu cjui badala ya sijui, xaxa badala ya sasa.
Hii inakera na unakuta ni mtu mzima na mwenye familia anaandika hivyo.
Naona tabia hii imekithiri sana mitandaoni na hata kwenye baadhi ya mawasiliano rasmi.
Vipi mdau wa JF hili unalionaje?
Sent using Jamii Forums mobile app