Uandishi huu wa kubadili maneno unakera sana

Uandishi huu wa kubadili maneno unakera sana

Tangopori

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2012
Posts
1,628
Reaction score
1,290
Juzi hapa kuna mtu kaleta uzi kuwa uandishi wa maneno kama
xaxa, xio, xo, e.t.c ni dalili za ushoga!
Sasa kuna uandishi mwingine umeibuka ambao nadhani ni zaidi ya huo hapo juu!
Nimekutana nao fb umenikera kwa kweli! Nilikuta mtu kaandika

N0um3r qw3l1 mch121 w4n9u

akimaanisha "noma kweli mchizi wangu"
sio siri huu uandishi unakera sana!
 
Even me ncngeelewa kama mkuu asingetafsiri. Wapi mzee wa kifimbo cheza???? Hata kama ni swaga izo zimepitriza meen!!!!
 
Watunge lugha yao! Itawasaidia tena ni vyema wakashirikiana na polis,serikali na Bunge mana hawapendi mambo yao yawe wazi! Itawasaidia sana, sisi wengingne tusingeelewa!
 
Wanaandika hadi kwenye mitihani
 
Mentor sijakuona mjini kabisa kaka
 
Last edited by a moderator:
Juzi hapa kuna mtu kaleta uzi kuwa uandishi wa maneno kama
xaxa, xio, xo, e.t.c ni dalili za ushoga!
Sasa kuna uandishi mwingine umeibuka ambao nadhani ni zaidi ya huo hapo juu!
Nimekutana nao fb umenikera kwa kweli! Nilikuta mtu kaandika

N0um3r qw3l1 mch121 w4n9u

akimaanisha "noma kweli mchizi wangu"
sio siri huu uandishi unakera sana!

mmmh!!! Mabig, bila kutafsiri mkuu nilijua kilugha hicho......kha!! Kweli ulimwengu wa digital mpaka kuandika wanaandika kidigital
 
Juzi hapa kuna mtu kaleta uzi kuwa uandishi wa maneno kama
xaxa, xio, xo, e.t.c ni dalili za ushoga!
Sasa kuna uandishi mwingine umeibuka ambao nadhani ni zaidi ya huo hapo juu!
Nimekutana nao fb umenikera kwa kweli! Nilikuta mtu kaandika

N0um3r qw3l1 mch121 w4n9u

akimaanisha "noma kweli mchizi wangu"
sio siri huu uandishi unakera sana!

Na kwenye mitihani wanaandika hivyohivyo
 
Duh...na pita pita yangu yote kwenye ma social networks hiyo "wangu" leo ndio naiona kwa mara ya kwanza duuh
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom