Nucky Thompson
JF-Expert Member
- Sep 20, 2016
- 2,194
- 4,805
Haheleweki kwa kweri, mimi nimejaribu kumuhelewa nimeshindwaHahahaha duu lakini kaeleweka ila wewe umemfanyia huuni tu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] noma sana!
Tumemuelewa kwa vile sisi watanzania kiswahili ndio lugha yetu,lakini kwa yule ambae kiswahili ni lugha ya kujifunza darasani basi hapo hapati hata neno moja,kwa mfano wageni kutoka nje ya nchi.Hahahaha duu lakini kaeleweka ila wewe umemfanyia huuni tu