Ndikwega
R I P
- Feb 1, 2012
- 5,979
- 5,529
Hahahhaaa, Mjomba ndiyo umeua hapa. Hata kuacha nafasi ishu.Dogoumekujakunizalilishahukukwenyemtandaohayabanahayamaishatu.
Hahahhaaa, Mjomba ndiyo umeua hapa. Hata kuacha nafasi ishu.Dogoumekujakunizalilishahukukwenyemtandaohayabanahayamaishatu.
We ndio dalali Juma...???Dogoumekujakunizalilishahukukwenyemtandaohayabanahayamaishatu.
Hasubuyu
Tiharahehi
Heateri
Hai pii pii
Mutu
Zarawu
Ww ndo umeua zaid mkuu...asante kwa jion njemaMbona anaeleweka tu!
Hacheni zarawu.
Hasubuyu- Asubuhi
Tiharahehi - TRA
Heateri - Airtel
Haipiipii- IPP
Mutu- MTU
Zarawu- dharau
Lugha yake kama ya Baba J.
Ww ndo umeua zaid mkuu...asante kwa jion njema
Ukweli nilikuwa sijaelewa hapa anamaana gani. Dah Asante Mkuu! HahahahaHai pii piii![]()
![]()
ndo ipp
Umenichekesha sana mkuu
hapo kuna TRA, AIRTEL na IPP ndo balaa, wenye makampuni wakiziona watazimia.Hata Mimi sijamuelewa baadhi ya maneno
Nahuku upo?.Kiswahili kigumu sana. Walimu wa siku hizi wametokea chuo kufaulu kwa kukariri.
Mawazo mgando hayaKiswahili kigumu sana. Walimu wa siku hizi wametokea chuo kufaulu kwa kukariri.