Uandikishaji wa wapiga kura 2015

Uandikishaji wa wapiga kura 2015

Joined
Jul 24, 2012
Posts
30
Reaction score
8
jamani vp wadau kuhusu kuandka upya wapiga kura kwa ajili ya uchaguzi mkuu, ishu inaanza lini na je kuna tetesi zozote? Tujuzane atayepata taarifa.
 
Zitakuja tu wadau muwe na amani, ni suala la muda wadau wengi sana wanaziwait hizo, maana ukosefu wa ajira unatisha kama ebola
 
Uandikishaji unaanza week za mwisho mwezi September so kwa ku apply kuweni tayari Muda wowote kuanzia sasa
 
Watatoa nafasi za kazi

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Na vp kuhusu vitambulisho vya uraia kwenye mkoa wa Tanga na Arusha, jaman kama kuna anayefahamu ni vizuri kujuzana.
 
Viporo vinazidi kuongezeka, wakati mtu anafikiria ni lini uboreshaji wa daftari la wapiga kura utafanyika, kichwani ana utoaji wa vitambulisho vya uraia. Hapo kuna taasisi mbili tofauti, nida na tume ya uchaguzi ambazo hazishirikiani, moja inaenda kushoto na nyingine inaende kulia.Nida wana karibu miaka miwili tangu waanze zoezi hilo lakini sina hakika kama watakuwa washamaliza angalau wilaya kumi. Mwezi wa kumi ni uchaguzi wa serikali za mitaa, daftari halijaboreshwa na huku wanasema vitambulisho tulivyonavyo mwaka huu havitatumika, lazima vitolewe vipya, Wale waliopata bahati na kupatiwa vitambulisho vya uraia wanaambiwa hivyo havitatumika kwenye uchaguzi. Kuliko kuua ndege wawili kwa jiwe moja ili kupunguza gharama wao wanataka kila taasisi ifanye kazi kivyake, tutafika kweli. Hiki kitambulisho cha uraia ambacho hakinipi nafasi ya kupiga kura kazi yake ni nini hasa. Nchi hii bwana, mtu mmoja anakuwa na vitambulisho zaidi ya kumi, anakuwa na kitambulisho cha: kupiga kura, uraia, CRDB banki, NMB banki, cha kazi, cha kumwekea mtu dhamana mahakamani, cha bima, cha harusi, cha kuingilia mkutanoni, cha kumaliza darasa la saba, sekondari na chuo, cha kumiliki gari na pikipiki. Taarifa katika vitambulisho vyote hivi ingeweza kupatikana katika kimbulisho kimoja tu cha uraia. Nchi hii bwana ni bora liende.
 
Ha ha ha nchi hii bora iende .......In short hawana mipango hawa viongozi ...wanakurupuka kweli. ..wajanja wanakula pesa.
 
Asa jamani Nida na tume ya uchaguzi wakiungana mgao si utakua mdogo. Ndio maana wanataka kila moja afanyekazi kivyake
 
mngejua posho ya hao NIDA ....mcngewataman.......and by the way wewe unafanyakazi kama nani? coz zoezi linashirikisha only ...
few people
 
Posho yao ni chini ya elfu kumi kwani???
 
Assume ni mwalimu wa primary.

sasa mwalimu unashirikije kwenye NIDA???? au unafikir ni mtihani wa class 7????.
wanahusika watendaji only......
kama wewe ni Weo au Veo then wait.....
 
Hahaha dah kuna mtu alikuwa amasubiria mwalimu wa primary anajua kutakuwa na kuandikisha watu..daah
 
Back
Top Bottom