Bisansaba
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 292
- 109
Tulituma maombi mwezi wa 9 mwaka jana, tunasubiri kuitwa tu. Kama hukuomba mwaka jana nafikiri hii ya mwaka huu itakua imekupita labda usubiri hadi uchaguzi ujao.jamani vp wadau kuhusu kuandka upya wapiga kura kwa ajili ya uchaguzi mkuu, ishu inaanza lini na je kuna tetesi zozote? Tujuzane atayepata taarifa.