Madame B
JF-Expert Member
- Apr 9, 2012
- 31,841
- 37,579
Huamini?
Ndo basi tena.
tobaaaaaaaaaaaaa! naomba kutuma salamu kwa msiri wangu wa moyoni gfsonwin! ujumbe mla, mla leo, mla cha jana kala kiporo, mla cha kesho kala kibudu! salamu hizi zisindikizwe na wimbo wa kinyang'unya wa khadija kopa! lol! amka dada amka meli ileeeeeeeeeeeee!
kuna saa unakuwaga na busara na staha! hayo ndiyo maneno ya kuongea! haya eid hii mtakuwa wapi we na mkeo The secretary?Asprin we kiboko,jamvi zima la jeief nani kama asprooo jamani,Man of the yiaaaaaa2012 ni.............
angalia na sehemu za kujaribu, sio wami wala ruvu! hatutaki matatizo hapa!:biggrin1: hii nimeipenda hii.....very romantic lazima niijaribugi
Mh.....................
ya kweli hayo..???
Ndo mana yakeeee!!!!!!!!!,
Ukiona Manyoya..........
na ukimuona Ngedere Posta jua ana Mwenyewe.
SHANGAAAA!!!!!!!!!!!
BTW mzimaaaaaaa????
Mie mzima mama hofu kwako labda nikujibu msemo wako wa pili
kwanza, ukiona Ngedere posta ujue kamkimbia mwenyewe hivyo
mkamate ukamfuge nimepatia eeh..?? Na ukiona manyoya ujue
majogoo yalikuwa yanapigana....
angalia na sehemu za kujaribu, sio wami wala ruvu! hatutaki matatizo hapa!
u r a good boy!:biggrin1: Ni kweli maana hukawii kushangaa mshakatwa miguu...
Weuweeeeeeeeeee! Hata mimea inajua utamu ka kusaga....He heeeeeeeeeeeeeeeee,
Kachiriiiiii kachiriiiiiiii Saga,
Kachiriiiiii kachiriiiiiiii Saga,
KUNOGA JAMANIIIIIIIIII,
Hapo ni full Nyonga,
Mautamu ya wanawake hayanaga swagaza Ukwenhe bhana.
Weuweeeeeeeeeee! Hata mimea inajua utamu ka kusaga....He heeeeeeeeeeeeeeeee,
Kachiriiiiii kachiriiiiiiii Saga,
Kachiriiiiii kachiriiiiiiii Saga,
KUNOGA JAMANIIIIIIIIII,
Hapo ni full Nyonga,
Mautamu ya wanawake hayanaga swagaza Ukwenhe bhana.
Ha ha ha ha ha ha ha,
Umekua kijana wangu,
Ngoja nikutafutie Mchumba.
Unamuhitaji nani humu JF?
khaaaaaaaaa mpaka wengine wanacheza karata??? lolest! huyo dada, atakuwa na ukoo na maumba!Ili mradi usimtafutie mchumba wa dizaini hii......... Stuka St. Paka Mweusi.........THINK!! Madame B si mtu mzuri kiviiiile!
![]()