Uandame, usiandame..... Lazima kieleweke!!

Hii sredi hii...leo ngoja niende jukwaa la siasa nikaangalie njinsi ushuru wa biya umepanda tena! Manina.

Hommie Asprin ikifika Iddi nistue. nipo safarini hapa
Hommie Kaizer ushasahau siye fita ni fita hatuiwezagi murah? Siye zetu mapenzi bana. Hebu urudi pande hii unipe taarifa za mwaJ, @ ummu kulthum, princess enny, Catherine na Mwali.


the_identity_of_vancouvers_famous_kissing_couple_is_revealed.jpg
 
Last edited by a moderator:
tobaaaaaaaaaaaaa! naomba kutuma salamu kwa msiri wangu wa moyoni gfsonwin! ujumbe mla, mla leo, mla cha jana kala kiporo, mla cha kesho kala kibudu! salamu hizi zisindikizwe na wimbo wa kinyang'unya wa khadija kopa! lol! amka dada amka meli ileeeeeeeeeeeee!

shostito hebu mkumbushe mwaJ ule wimbo wa achia ngazi babu mchuma unaondoka huooooooooooooooooo! mwambie ushaondoka asome namba ya kegete chezeya kungwi weye?????////

mwenzio leo nilikuwa na shughulli ya kupakwa hina si wajua mwez huo hinna sunna kwa mwanamke?
 
Last edited by a moderator:
Hivi kweli shosti gfsonwin unanivunja moyo kiasi hicho! Ila siku hizi hakuna shida mchuma ukiondoka unaukodia bodaboda yenye speed kali unaufukuzia. Hukawii kujikuta uko mbele ya mchuma!
 
Last edited by a moderator:
Hivi kweli shosti gfsonwin unanivunja moyo kiasi hicho! Ila siku hizi hakuna shida mchuma ukiondoka unaukodia bodaboda yenye speed kali unaufukuzia. Hukawii kujikuta uko mbele ya mchuma!
Hahahaha... stuka mwaJ.... mme wako akiwa kwako. Akiwa nje si wako.

attachment.php
 
Last edited by a moderator:
Kivyovyote vile hakipokelewi kitu! Afu Babu nahisi wewe ndiyo umeanza kufundisha vijana mitara , b52 mfano halisi !
 
waaaaoh, sante sana babu kipenzi cha wajukuu. location wapi? nina hamu sana ya ubwabwa wa sherehe
 
11 Reactions
Reply
Back
Top Bottom