Asprin
Platinum Member
- Mar 8, 2008
- 68,487
- 96,981
- Thread starter
- #61
Uwiiiiiii!!!!!!!!!!!,
Asprin unanivunjamo tumbavu twangu,
Lakini wakati uko mpangaji wa vyumba vya Nyuma hukuwa hivo Lakini nashangaa tangu upewe huku Mbele umekuwa jeuri sana.
Sijui kwa nini!!!
Kwa sababu siku hizi wengi hawapendi vyumba vya mbele.........