Uandame, usiandame..... Lazima kieleweke!!

Tena uje na kale kachalii kako ukapetipeti kama kawaida yako........... Hivi kanakufikishaga mawenzi kweli? Mwezi hoyeeeeeeeeeeeee!!!!

02021192d9a6aman-rides-a-cow-funny-pic.jpg
unamaanisha mimi au?
mm anafika mpaka the highest mountain in the WORLD atii
 
Ha ha ha hahaaaaaaaa! Thanks babu Asprin. You made my day! Kila ninapotaka ku comment kwenye picha moja, namalizwa na inayofuata! Aa!, liwalo na liwe! waambie wakezo nakuja kula idi hata kama hawajanialika! Ila huko kwenye amri nyingi siji. Lol!
 
Lahaulaaaa!!!!!!!Lawata!!!!!!!!!,
Yule alikuwa anaishia mlangoni tu.
Ila Jamani nyie wanaume Mnaonaga mengi duniani humu!!!!!!
Kuta nne zingekuwa na vioo,wallah tena Tusingeangaliana usoni tukutanapo.
Ni kweli tunaonaga mengi sana, basi tu.

attachment.php
 
Ha ha ha hahaaaaaaaa! Thanks babu Asprin. You made my day! Kila ninapotaka ku comment kwenye picha moja, namalizwa na inayofuata! Aa!, liwalo na liwe! waambie wakezo nakuja kula idi hata kama hawajanialika! Ila huko kwenye amri nyingi siji. Lol!
Usikose mwaJ ila uje na mtu anayeeleweka, hatutaki magetikrasha, ulinzi umeimarishwa....

attachment.php
 
Last edited by a moderator:
Ha ha ha hahaaaaaaaa! Thanks babu Asprin. You made my day! Kila ninapotaka ku comment kwenye picha moja, namalizwa na inayofuata! Aa!, liwalo na liwe! waambie wakezo nakuja kula idi hata kama hawajanialika! Ila huko kwenye amri nyingi siji. Lol!
karibu sana mwaJ, tena babu Asprin ana mshkaji wake atakupa akupe company!
 
Last edited by a moderator:
He heeeeeeeeeeeeeeeee,
Kachiriiiiii kachiriiiiiiii Saga,
Kachiriiiiii kachiriiiiiiii Saga,
KUNOGA JAMANIIIIIIIIII,
Hapo ni full Nyonga,
Mautamu ya wanawake hayanaga swagaza Ukwenhe bhana.
 
Back
Top Bottom