Uandame, usiandame..... Lazima kieleweke!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Uandame, usiandame..... Lazima kieleweke!!

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Asprin, Aug 17, 2012.

 1. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #1
  Aug 17, 2012
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 50,976
  Likes Received: 23,672
  Trophy Points: 280
  Ndo nshaamua hivyo....

  Leo si jumamosi? Liwalo na liwe, mwezi uandame au usiandame mie kurudi kwa mkoloni wangu ni mpaka Jumatanoooo....
  Nimechoka kukaa huku kwenye lokesheni yangu ....si mwaijua eh?...

  [​IMG]

  Nikaunganike na wake zangu BADILI TABIA, cacico na Yummy chini ya uangalizi wa Kongosho kujichana mamisosi ya Idi

  [​IMG]

  Then nikimaliza niungane na washkaji zangu Bishanga, Kaizer, BAGAH na Erickb52 kudumisha mila....bila kujali chochote....

  [​IMG]


  Wadada wapendwa, Catherine, Madame B, princess enny, ummu kulthum, gfsonwin na mwaJ tunawakaribisha mjiunge nasi kusheherekea Sikukuu ya Idi (mwezi utajiju usipoandama)...... Vigezo na masharti kuzingatiwa mambo yatakapotuzidia...

  [​IMG]


  Kwaheri mkoloni wangu, karibuni washkaji zangu tujiruuuushe na tuserebuke!

  Kwa mapeenzi na furaha wapenzi wangu ninawapa...Mkono wa Idiiiiiii!

  Damn hivi leo jumangapi vile?
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 2. cacico

  cacico JF-Expert Member

  #2
  Aug 17, 2012
  Joined: Mar 27, 2012
  Messages: 8,392
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 160
  khaaaaaaaaaa hubby! mbona maneno hayo muda huu nawajua damuni kuna sumu??? sa mie nitajipigiliaje vitu thatha???? itakuaje jamani??
   
 3. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #3
  Aug 17, 2012
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 50,976
  Likes Received: 23,672
  Trophy Points: 280
  Ndugu zangu, mkimwona Preta mwambie ajiunge nami kusheherekea hii long weekend

  [​IMG]

  Mkimwona Mr Rocky na Judgement waambieni watoke huko waliko wajiunge nasi, mambo iko huku.

  [​IMG]

  Pia Remmy mwambieni asiwe na wasi, PakaJimmy anazingatia vigezo na masharti anayazingatia, shahidi sweetlady alipopewa makazi hapa Idi iliyopita baada ya kulewa sana......

  [​IMG]
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 4. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #4
  Aug 17, 2012
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 50,976
  Likes Received: 23,672
  Trophy Points: 280
  Khaa wife maneno kuntu hayo, yananiharibia swaumu ujue... Hivi umenilogea nini cacico wangu?

  [​IMG]
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 5. cacico

  cacico JF-Expert Member

  #5
  Aug 17, 2012
  Joined: Mar 27, 2012
  Messages: 8,392
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 160
  khaaaaaaa laanakum wallah! hivi unawazaga nini wewe?? jamani?? khaaaaa mume nilipataga!
   
 6. Madame B

  Madame B JF-Expert Member

  #6
  Aug 17, 2012
  Joined: Apr 9, 2012
  Messages: 24,128
  Likes Received: 4,994
  Trophy Points: 280
  Kwi!! kwi!! kwi!! kwi!! kwi!! kwi!!,
  Teh!! teh!! teh!! teh!! teh!! teh!!,
  Oho!! oho!! oho!! oho!! oho!! oho!!,
  Uandame,Usiandame LAZIMA NGUO TUSHONE NA PILAU LIPIKWE.
  Na ole wako na wakezo msinialike kwenye mnuso.......,
  PATACHIMBIKAAAAAA!!!!!!!!!!!!!!!
   
 7. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #7
  Aug 17, 2012
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 50,976
  Likes Received: 23,672
  Trophy Points: 280
  Si unajua navokumisigi unapokuwa mbali nami?? Nakonda kwa mawazo...

  [​IMG]
   
 8. BAGAH

  BAGAH JF-Expert Member

  #8
  Aug 17, 2012
  Joined: Jan 17, 2012
  Messages: 4,523
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Asprin mshkaji hapo ni kwenye raha au mafuriko ayo?
  sasa babu hiyo ni guest au KANISA?
  mbona amri nyingi tena zile za muhimu...LOL
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 9. majany

  majany JF-Expert Member

  #9
  Aug 17, 2012
  Joined: Sep 30, 2008
  Messages: 1,199
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 145
  Sasa hapo cacico unaangalia nini??ila jamaa kasimama...kitu 90 degrees...kulaaaleki,mpaka kwenye ovary....
   
 10. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #10
  Aug 17, 2012
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 50,976
  Likes Received: 23,672
  Trophy Points: 280
  Tena uje na kale kachalii kako ukapetipeti kama kawaida yako........... Hivi kanakufikishaga mawenzi kweli? Mwezi hoyeeeeeeeeeeeee!!!!

  [​IMG]
   
 11. Madame B

  Madame B JF-Expert Member

  #11
  Aug 17, 2012
  Joined: Apr 9, 2012
  Messages: 24,128
  Likes Received: 4,994
  Trophy Points: 280

  Babu kwa nini ujitese wakati mpaka wa buku wamejaa?
  au cacico na wenzie wanakuchimbaga biti?????
   
 12. sweetlady

  sweetlady JF-Expert Member

  #12
  Aug 17, 2012
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 16,982
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Nimepita!
   
 13. mtotowamjini

  mtotowamjini JF-Expert Member

  #13
  Aug 17, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 4,540
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  :biggrin1: sasa hapo kwenye menu mbona kuna MIRINDA? nilifikiri mzee baada ya mwezi bila kitu ungeweka vitu flaani bariiiidiiiii vya kiutu uzima....
   
 14. cacico

  cacico JF-Expert Member

  #14
  Aug 17, 2012
  Joined: Mar 27, 2012
  Messages: 8,392
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 160
  umeona eeee?? Ana balaa huyu acha tu!
   
 15. BAGAH

  BAGAH JF-Expert Member

  #15
  Aug 17, 2012
  Joined: Jan 17, 2012
  Messages: 4,523
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  BABU huyo kamfanyaje mwenzie mbona kaviumba?
  au ni jipu ilo?
   
 16. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #16
  Aug 17, 2012
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 50,976
  Likes Received: 23,672
  Trophy Points: 280
  Siyo mafuriko kiongozi, acha upweke jiunge nasi bana!

  [​IMG]

  We ukiona maji tu unawaza mafuriko? Kamon booooi!!!

  [​IMG]
   
 17. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #17
  Aug 17, 2012
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 50,976
  Likes Received: 23,672
  Trophy Points: 280
  Hahahaha ... mtotowamjini bana? Si unajua pilau laliwa home na watoto? Baada ya hapo ni kama kawa.......

  [​IMG]
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 18. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #18
  Aug 17, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,872
  Likes Received: 6,222
  Trophy Points: 280
  hubby nisubiri twende wote maana mie nikitoka hapa kurudi jumatanoooooooooooooooooooooooooooo
   
 19. Madame B

  Madame B JF-Expert Member

  #19
  Aug 17, 2012
  Joined: Apr 9, 2012
  Messages: 24,128
  Likes Received: 4,994
  Trophy Points: 280

  Lahaulaaaa!!!!!!!Lawata!!!!!!!!!,
  Yule alikuwa anaishia mlangoni tu.
  Ila Jamani nyie wanaume Mnaonaga mengi duniani humu!!!!!!
  Kuta nne zingekuwa na vioo,wallah tena Tusingeangaliana usoni tukutanapo.
   
 20. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #20
  Aug 17, 2012
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 50,976
  Likes Received: 23,672
  Trophy Points: 280
  Waooooh! Sasa usitinge tena ile hijab yako, pigilia ile makitu nlokununulia Paris

  [​IMG]
   
Loading...