Katika hali ya kushangaza katika ukongwe wake katika siasa Lowasa sijawahi kuona akito hotuba ya maana hata moja kwa mda unaozidi hata dakika kumi tu.
kwa kiasi kikubwa Lowasa amekuwa mwanasiasa wa kubebwa na pesa sijui kama angekuwa hajaiba pesa za watanzania na kuzifanya zake angebebwa na kitu gai.

Matendo ya kifisadi?Hatutaki maneno, matendo ndio maendeleo, swali la nyongeza???
Katika hali ya kushangaza katika ukongwe wake katika siasa Lowasa sijawahi kuona akito hotuba ya maana hata moja kwa mda unaozidi hata dakika kumi tu.
kwa kiasi kikubwa Lowasa amekuwa mwanasiasa wa kubebwa na pesa sijui kama angekuwa hajaiba pesa za watanzania na kuzifanya zake angebebwa na kitu gai.
Katika hali ya kushangaza katika ukongwe wake katika siasa Lowasa sijawahi kuona akito hotuba ya maana hata moja kwa mda unaozidi hata dakika kumi tu.
kwa kiasi kikubwa Lowasa amekuwa mwanasiasa wa kubebwa na pesa sijui kama angekuwa hajaiba pesa za watanzania na kuzifanya zake angebebwa na kitu gai.
hahahaha! kama nabii Musa, alikuwa hauji kabisa kuongea, Mungu akampatia ndugu yake Harun kuwa msemaji wake. kazi ya Musa ilikuwa ni kutenda tu! Hajapata kutokea kama yeye miongoni mwa Mayahudi!Sisi hatuhitaji maneno bali vitendo Lowassa mbele kwa mbele.
Katika hali ya kushangaza katika ukongwe wake katika siasa Lowasa sijawahi kuona akito hotuba ya maana hata moja kwa mda unaozidi hata dakika kumi tu.
kwa kiasi kikubwa Lowasa amekuwa mwanasiasa wa kubebwa na pesa sijui kama angekuwa hajaiba pesa za watanzania na kuzifanya zake angebebwa na kitu gai.
Bora umenisaidia katika hili, yaani sio sio siri ni hewa tupu. Nilikuwa na wana ukawa hapa tunasubiri kwa hamu hotuba ya bwana mkubwa, wameishia kuona aibu tu. Washaanza kukata tamaa kuwa jamaa atachuja ndani ya muda mfupi SANA BORA MARA MIA YA Mrema. Wameiunga mkono CCM kumkata, na wako wanajuta kumpoteza slaa mtu mwenye convincing power na afya imara. Kwakweli kama kuna anaweza kushawishiwa na Lowassa, atakuwa na matatizo ya msingi, tuseme ukweli tu.