Karume kassim Member Oct 19, 2011 5 0 Oct 25, 2011 #1 Kwanin wanawake hawaridhiki kuwa na mwanaume mmoja? Au ndio msemo wa figa moja haliivishi chakula unaukweli uliojificha?
Kwanin wanawake hawaridhiki kuwa na mwanaume mmoja? Au ndio msemo wa figa moja haliivishi chakula unaukweli uliojificha?
Nyani Ngabu Platinum Member May 15, 2006 92,252 113,645 Oct 25, 2011 #2 Mi nilidhani kinyume chake....
Karume kassim Member Oct 19, 2011 5 0 Oct 25, 2011 Thread starter #3 Kwanini wanawake hawaridhiki kuwa na mwanaume mmoja? Au ndio msemo wa figa mmoja haliivishi chakula unaukweli ndan yake?
Kwanini wanawake hawaridhiki kuwa na mwanaume mmoja? Au ndio msemo wa figa mmoja haliivishi chakula unaukweli ndan yake?
M mzabzab JF-Expert Member Aug 18, 2011 34,060 61,437 Oct 25, 2011 #4 wanatongozwa sana kiasi cha kwamba wanashindwa kustahimili hivyo vishawishi .....they are humans jamani!!!!
wanatongozwa sana kiasi cha kwamba wanashindwa kustahimili hivyo vishawishi .....they are humans jamani!!!!