Uaminifu

Karume kassim

Member
Oct 19, 2011
5
0
Kwanin wanawake hawaridhiki kuwa na mwanaume mmoja? Au ndio msemo wa figa moja haliivishi chakula unaukweli uliojificha?
 
Kwanini wanawake hawaridhiki kuwa na mwanaume mmoja? Au ndio msemo wa figa mmoja haliivishi chakula unaukweli ndan yake?
 
wanatongozwa sana kiasi cha kwamba wanashindwa kustahimili hivyo vishawishi .....they are humans jamani!!!!
 
Back
Top Bottom