Karume kassim Member Joined Oct 19, 2011 Posts 5 Reaction score 0 Oct 25, 2011 #1 Kwanin wanawake hawaridhiki kuwa na mwanaume mmoja? Au ndio msemo wa figa moja haliivishi chakula unaukweli uliojificha?
Kwanin wanawake hawaridhiki kuwa na mwanaume mmoja? Au ndio msemo wa figa moja haliivishi chakula unaukweli uliojificha?
Nyani Ngabu Platinum Member Joined May 15, 2006 Posts 97,866 Reaction score 141,452 Oct 25, 2011 #2 Mi nilidhani kinyume chake....
Karume kassim Member Joined Oct 19, 2011 Posts 5 Reaction score 0 Oct 25, 2011 Thread starter #3 Kwanini wanawake hawaridhiki kuwa na mwanaume mmoja? Au ndio msemo wa figa mmoja haliivishi chakula unaukweli ndan yake?
Kwanini wanawake hawaridhiki kuwa na mwanaume mmoja? Au ndio msemo wa figa mmoja haliivishi chakula unaukweli ndan yake?
M mzabzab JF-Expert Member Joined Aug 18, 2011 Posts 46,170 Reaction score 90,503 Oct 25, 2011 #4 wanatongozwa sana kiasi cha kwamba wanashindwa kustahimili hivyo vishawishi .....they are humans jamani!!!!
wanatongozwa sana kiasi cha kwamba wanashindwa kustahimili hivyo vishawishi .....they are humans jamani!!!!