Dx and Rx
JF-Expert Member
- Jul 16, 2017
- 1,303
- 3,085
Uaminifu umekuwa kipengele sana katika kusonga mbele ukiwa unajumuisha wapendwa wako wa karibu.
Kukosa uaminifu unapoteza undugu, urafiki, kusaidiana, kujengeana chuki miongoni mwetu, kubwa zaidi unadidimiza hustle zer.
Mtu anapata shida anakuja kukupigia magoti umsaidie aweze kutatua shida yake huku akiahidi kutimiza ahadi kwa uaminifu mkubwa.
Ikifika wakati wa kutimiza ahadi zake anaonesha rangi yake halisi tofauti na ile aliyoionesha mwanzo pindi akiwa ana shida.
Imekuwa mara kadhaa sasa napoteza uaminifu na urafiki kwa watu wangubwa karibu niliosoma nao ama sekondari au chuo kisa ni Kukosekana kwa Uaminifu miongoni mwetu.
Hii hali imekuwa tofauti na hawa watu ninaokutana nao kwa muda mfupi katika hustles, angalau wanaonesha uaminifu japo kidogo kuliko wale niliotoka nao mbali.
Ukimfungia mtu vioo/milango kisa uaminifu wake wa mashaka inaonekana mbaya lakini wao wanasahau ndio wanasababisha haya yote.
Tulienda na kuimarisha uaminifu miongoni mwetu, uaminifu hutuunganisha pamoja, ni sehemu ya tabia.