N kweli uliwaza njee ya ukuta uko sawa nafikiri huenda kuna mengi namuwazia ila hahusiki navyooHapana, Nimejaribu kuona kuwa hilo la safari ya semina ni dogo, Kuna Makubwa zaidi ya hilo huko mbele. Ndio nikawaza kama kweli upo tayari kuyaishi.
Unadhani upo tayari kuoa? Kama jibu ni ndio, Upo tayari kumuamini?
Acha usaidiwe dogo lala tumia likizo yako vizuri.So unashauri nn kifanyike sasa
Ntajifunza kujitengenezea yaminifu kama ulivyosemaMkuu, siraha kubwa ya kuishi na mwenza waako ni Kuaminiana.
Ushauri wangu, ili ujiepushe na mawazo potofu juu yaake jiepushe na kumpigia simu mara kwa mara. I mean waweza kumpigia asubuhi, mchana mkachati sms mbili tatu and then usiku kabla ya kulala ukampigia mkakasalimiana and other staffs.
Mfano, nikimpigia mwenza wangu asipopokea simu mara ya kwanza navuta muda kidogo nampigia mara ya pili asipopokea teena sirudii kumtafuta hadi pale atakapo nitafuta. Nshamzoesha hivyo and am happy with her.
Ili kuepukana na hizo stress, Fanya kama nilivyokushauriNtajifunza kujitengenezea yaminifu kama ulivyosema
Sema mkuu hawa viumbe nipasua kichwa unaweza waza mpka ukasema ni Bora nisiwe kwenye mahusiano
Believe me moja ya mambo yanayopunguza life span kwa mwanaume mostly n stress zinazoletwa na hawa watu
Tupilia mbali wengine wanaenda mpka kwa waganga kukufanya zezeta mkuu mahusiano yana mambo mengi
Kumbuka DON'T TRUST WOMEN
WAO NDO CHANZO CHA KILA DHAMBI HAPA KWA DUNIA HATA MAANDIKO YANASEMA KWA MIFANO NA HISTORY
Mpe semina then relaxSawa mkuu ila Jua wife kumpotezea n ngumu Bora rafiki
naamini matatizo yako yataisha pindi utakavonilipa kwa nilichokufanyia ukanikimbia kisa uku ni Jf cwez kuukupat wal kukufahamuuNaomba nisiende mbali ilikuepuka kuwachosha wana JF
Moja kwa moja
Neno UAMINIFU kwny mapenzi ni wito wakuu kutokana na kuwa huwaweka watu roho juu
Kisa: wakuu nina mwenza Wang ambaye nimezaa Naye mtoto mmoja kwa tafasiri Nzuri yaani mzazi mwenzangu ila tupo mbioni kubariki ndoa .
Naandika uzi huu nikiomba kupata mawazo tofauti tofauti kutoka kwenu kwamba..
Mzazi mwenzangu ameitwa kwenda kwenye mafunzo ama semina kwa lugha rahisi sasa
Huko alipo anafikia nyumba za wageni ndo aende darasani kila siku
Wasiwasi wangu ni kuwa ntamuamini vepe wakuu ili hali mnajua akili za hawa jinsia ya kike japo mwanzo sijaona tabia yeyote ya kutomwamini kwa kuwa alikuwa karibu nami .
Wasi wasi tena n pale napompigia Simu nasikia mtu akibisha mlango saa 5 anaomba charge ya simu chumba alichokuwemo yeye
NIMUAMINI KWELI WAKUU......?