UAMINIFU NI WITO

UAMINIFU NI WITO

Kutojiamini ndio kunakomsumbua anasahau kumjengea mtu trust kunamfanya na yeye akuamini pia
Madam aliwazalo mjinga ndilo litakalomtokea. Kuto kuanza kumuamini mpenz wako huwa kunakujaza na mawazo machafu ilihali hajawahi kufanya hayo. Mwishowe penzi litaingia sumu sababu ya kutokujiamini
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mfate ukamfanyie suprise...
 
Eeh mwamini tu hata kuku wa kienyeji unavyomfuga utatamani mitaa flani asikatize anaweza ibiwa lakini mwisho wa siku akataka kujaribu na akapita kuke usikokutaka,kwa ufupi mtu hachungwi hujichunga mwenyewe
Haya bhana
 
Ukishakua mwanamke kutongozwa hakuepukiki, na usipotongozwa lazima ujitizame mara mbili swala sio kutongozwa swala hapa ni vile kujua uja mtu na kumpa heshima yake kwa kujitunza ww na mwili wako uliwahi kumfumania??
Binafsi najiamini sema nyie wenzetu kuwaamini ni kazi sana maana kila kukicha mnatongozwa
 
Eeh mwamini tu hata kuku wa kienyeji unavyomfuga utatamani mitaa flani asikatize anaweza ibiwa lakini mwisho wa siku akataka kujaribu na akapita kuke usikokutaka,kwa ufupi mtu hachungwi hujichunga mwenyewe
Ndio mtu hachungwi ila n wangu kufaham maana abiria chunga mzigo wako
 
Unajipa kaz zisizo mshahara hata chooni utamsindikiza?? Akienda sokoni unaenda nay?? Kazini je?? Huo mzigo utahangaika nao mpaka lini? Huoni kukuchosha
Ndio mtu hachungwi ila n wangu kufaham maana abiria chunga mzigo wako
 
Ukishakua mwanamke kutongozwa hakuepukiki, na usipotongozwa lazima ujitizame mara mbili swala sio kutongozwa swala hapa ni vile kujua uja mtu na kumpa heshima yake kwa kujitunza ww na mwili wako uliwahi kumfumania??
Cjawahi mfuma na mwanaume ila kunakipindi nilikutaga SMS za kijinga na ni kipindi alienda semina ivi ivii
 
Mtu kukucheat hata ukiwa ndani naye atakucheat yu haihitaji asafiri sehem moja kwenda nyingine bas mfate bila kumwambia
Cjawahi mfuma na mwanaume ila kunakipindi nilikutaga SMS za kijinga na ni kipindi alienda semina ivi ivii
 
Unajipa kaz zisizo mshahara hata chooni utamsindikiza?? Akienda sokoni unaenda nay?? Kazini je?? Huo mzigo utahangaika nao mpaka lini? Huoni kukuchosha
Daaaa unajua hakuna kitu kikubwa kama upendo binafsi so siri namuelewa sana sema hayo yote uliorothesha hapo yangewezekana ningefanya ivoo
 
Ngoja umpigie siku moja usikie " acha kunitekenya naongea na mme wangu.."

Kidume; mme bongooo?

You gonna die of horrow!
 
We waona kufanyahivo n upendo je wajua anavyokutafsir moyonimwake?? Moyo wa mtu ni kichaka
Daaaa unajua hakuna kitu kikubwa kama upendo binafsi so siri namuelewa sana sema hayo yote uliorothesha hapo yangewezekana ningefanya ivoo
 
Ngoja umpigie siku moja usikie " acha kunitekenya naongea na mme wangu.."

Kidume; mme bongooo?

You gonna die of horrow!
I don't get ua points chief

Nahisi ukatoe ushauri wa namna hiyo mochwara
 
We kwa fikra yako naigizaa
Hapana, Nimejaribu kuona kuwa hilo la safari ya semina ni dogo, Kuna Makubwa zaidi ya hilo huko mbele. Ndio nikawaza kama kweli upo tayari kuyaishi.
Unadhani upo tayari kuoa? Kama jibu ni ndio, Upo tayari kumuamini?
 
Inategemea na who you are kwake i mean what type of a man you are kwake,wa hiyo ukaamua umchunge utaweza kweli??
Mwanamke ni akili yake, kama anakupenda bas atatulia
Ndio ni kichaka huwezi jua ananiwazia nn ila mwanamke ana akili ya kubadilika badilika
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom