Uaminifu na changamoto za mahusiano na ndoa

Kikubwa ni Kuomba Uzima tu panapokuwa na uaminifu hata mafanikio katika maisha huchangiwa sana na uwepo wa uaminifu katika ndoa. Dini ni kichocheo kizuri sana katika kudumisha uaminifu, muogope muumba wako na uheshimu ndoa yako ndipo hayo mema ya Mbingu yatakapowekwa mikononi mwenu

Kusali sana na kujikita zaidi kuliombea taifa hili linalodidimia zaidi katika utandawazi ambao umekuja kutuharibia watoto.
 
Mi nadhani kama mtu si mwaminifu huwezi kuwa mvumilivu.
Lazima uwe mwaminifu kwanza ndio uvumilivu ufuate.
Lakini FP anakazia sana kwenye uvumilivu bila kuangalia upande wa uaminifu.
Inawezekana kabisa sikuelewe hiyo UAMINIFU ina maana gani....
ni kwamba mimi nipo mwaminifu sana kwa mwenza as sitoki nje ya ndoa hata iweje lakini yeye anatoka tu nje naamua kuvumilia au ni vipi?

mimi nadhani kama wewe ni mwaminifu sana ni rahisi sana kushindwa kuvumilia mambo kama haya yanapojitokeza; unaweza kuvumilia mara moja au mbili baada ya hapo uvumilivu unaweza kupotea.
sijui labda mtu mzima mwenzangu Dark City aje kunisaidia hapa
 
Last edited by a moderator:
Ukifikia kwenye kutelekeza familia bwana mie naona unaelekea kwenye uchizi....

Hata wazee wetu pamoja na kwamba tunasema hawakuwa waaminifu ila ni wachache sana waliotelekeza familia...

Na hapa naongelea kule kwetu bondeni ambako mila zilikuwa juu ya kila mtu!!

Babu DC!!

Kha bro Erickb52, nilidhani unataka kuachana na mpango wa kando kumbe...:A S 39:

Babu DC, naomba kufahamu hao wazeee unaowaongelea hapa ni wa umri gani.

1. Huyu ni msomi kabisa mwenye mtoto wa kwanza wa 1972. Aliacha familia kabisaaaa akahamia kwa bi mdogo. Aliiacha familia wakati mtoto wa mwisho (1980) ana miaka 18. Akiwa mzee kabisa pale unapodhani ashazeeka maini.

2. Babu huyu wa 1922 alibahatika kusafiri sana alipokuwa kijana hadi Mombasa ana watoto. Aliporudi kijijini akaamua kuoa kila baada ya nyumba tano. Akaiacha familia yake ya watoto nane akahamia kwa wake wadogo.

Ni wazee wapi hao tunaowaongelea hapa wasioacha familia zao??

Niachojua tu ni hiki: "Kila aziniye na mwanamke hana akili kabisa." (Mithali 6:32)

Hata kwangu na ujana huu nimejionea the moments I played around nothing productive went on with my life.

Mkuu Mentor,

Hapo (blue) umepaona kweli??

Hahahahaaa Mentor kumbuka FP kasema mpango wa kando upo toka zamani ila sema inatakiwa usiri wa hali ya juu sasa nikiendelea kukomaa na kitochi changu si ntakamatwa aisee bora nikaache nirudi analogy!
 
Last edited by a moderator:
Inawezekana kabisa sikuelewe hiyo UAMINIFU ina maana gani....
ni kwamba mimi nipo mwaminifu sana kwa mwenza as sitoki nje ya ndoa hata iweje lakini yeye anatoka tu nje naamua kuvumilia au ni vipi?
mimi nadhani kama wewe ni mwaminifu sana ni rahisi sana kushindwa kuvumilia mambo kama haya yanapojitokeza; unaweza kuvumilia mara moja au mbili baada ya hapo uvumilivu unaweza kupotea.
sijui labda mtu mzima mwenzangu Dark City aje kunisaidia hapa

Nakubaliana sana na wewe mkubwa mwenzangu @FP,

Mtu anapokuwa mwaminifu sana, anakuwa ni mkereketwa wa uaminifu, inakuwa vigumu kwake kutoa benefit of doubts kwa mwenzake. Mtu wa namna hii, ni vigumu kuwa mvumilivu hata kama jamabo ni dogo kwa wengine.

Babu DC!!
 
ha ha haaa, sasa unakuwaje na nyumba ndogo ambayo haijui mipaka rafiki? tafuta ambaye anajua sasa upo kwa mamsap hakuna simu wala sms..... mambo yanaishia juu kwa juu, lol!
Hahahahaaa ni kweli ila kuna wengine huwa wana wivu kwa wife yan wanajisahau kuwa wao ndio backup sio bibie lol
Ila nikiangalia kiukweli naona kama watu wengi wana vimipango vya kando aisee wasio navyo ni wachacheeeeeeee
 
Hahahahaaa Mentor kumbuka FP kasema mpango wa kando upo toka zamani ila sema inatakiwa usiri wa hali ya juu sasa nikiendelea kukomaa na kitochi changu si ntakamatwa aisee bora nikaache nirudi analogy!

Ndiyo maana mkaambiwa nyie vijana wa digitali hamna adam's apple..lol!!

Ninavyoamini mimi, simu inakuwepo home tena mezano 24/7 na nyau yeyote kutoka nje haruhusiwa kutuma sms au kupiga bila ruhusa...mnashindwa nini nyie watoto?

Au mnataka kuitwa babe sijui baby na kila mtu??

Hiyo lazima iwa-cost tu....lol!!

Ni kweli kabisa ila wengi wao tena wale wa analogia wanatumia kichwa kikubwa zaidi katika kuendesha mambo yao....

Babu DC!!
 
Hahahahaaa ni kweli ila kuna wengine huwa wana wivu kwa wife yan wanajisahau kuwa wao ndio backup sio bibie lol
Ila nikiangalia kiukweli naona kama watu wengi wana vimipango vya kando aisee wasio navyo ni wachacheeeeeeee

Ndiyo maana mkaambiwa nyie vijana wa digitali hamna adam's apple..lol!!

Ninavyoamini mimi, simu inakuwepo home tena mezano 24/7 na nyau yeyote kutoka nje haruhusiwa kutuma sms au kupiga bila ruhusa...mnashindwa nini nyie watoto?

Au mnataka kuitwa babe sijui baby na kila mtu??

Hiyo lazima iwa-cost tu....lol!!

Babu DC!!
Babu ukimsoma Erick hapo juu utagundua ni kwa kiasi gani hawa vijana wanawaaminisha mabinti kuwa wao ndo mambo yote. mtu kama ni backup anatakiwa ajue kuwa yeye ni backup, kama unashindwa kumfanya ajijue kuwa yeye ni backup basi ndo matokeo yake hayo, anakuwa na wivu kwa wife.

Tatizo la siku hizi mapenzi yamehamia kuwa kama ya kwenye Isidingo, kila mtu anataka kuonyesha utaalamu wake katika hilo. sasa unafikiri ukimchanganya binti wa watu huko nje ataweza kuvumilia asimkorofishe wife? anafikiria kama mimi kwa masaa machache tu inakuwa hivi je huyo wa 17/7? hawajui kuwa wakati mwingine hiyo 17/7 inakuwa ni mazoea tu.... hapa naomba nisifafanue zaidi, lol!
 
Nakubaliana sana na wewe mkubwa mwenzangu @FP,

Mtu anapokuwa mwaminifu sana, anakuwa ni mkereketwa wa uaminifu, inakuwa vigumu kwake kutoa benefit of doubts kwa mwenzake. Mtu wa namna hii, ni vigumu kuwa mvumilivu hata kama jamabo ni dogo kwa wengine.

Babu DC!!
wewe unafikiri kwa nini mimi bado kidogo nipelekwe mirembe enzi hizo? sababu ya uaminifu 100%
swali ambalo sikuwa naacha kujiuliza ni kwa nini asiwe kama mimi? mbona mimi sifanyi hivyo?.....
na haki ya nani nikija kugundua tena naona ndo itabidi mje kunisindikiza kabisaaaaaa
 
Hahahahaaa Mentor kumbuka FP kasema mpango wa kando upo toka zamani ila sema inatakiwa usiri wa hali ya juu sasa nikiendelea kukomaa na kitochi changu si ntakamatwa aisee bora nikaache nirudi analogy!
rafiki mpango wa kando ulikuwepo tangu zamani lakini siyo lazima kila mtu awe nao....
wewe unaweza kuchagua kutokuwa na mpango wa kando. believe me utaishi kwa amani sana na itafurahia maisha yako usipokuwa na mpango wa kando. Jaribu kuacha, utakuja kunihadithia
 
Ndiyo maana mkaambiwa nyie vijana wa digitali hamna adam's apple..lol!!

Ninavyoamini mimi, simu inakuwepo home tena mezano 24/7 na nyau yeyote kutoka nje haruhusiwa kutuma sms au kupiga bila ruhusa...mnashindwa nini nyie watoto?

Au mnataka kuitwa babe sijui baby na kila mtu??

Hiyo lazima iwa-cost tu....lol!!

Babu DC!!

jitu zima eti baby, mxsiii, sema bwana wanaume sijui mpoje, nasemaga mngekuwa na koromeo la kike maisha ya ndoa yangekuwa matamu sana, mpaka ujue mkeo anafanya,utakesha, na mwanamke yoyote anaefanya mpaka ashtukiwe huyo ni kiazi, sasa nyie limtu upo na mkeo kitandani unatuma msg kwa hawara eti" baby nitumie msg nzuri nilale" ovyo zenu.
 
Babu ukimsoma Erick hapo juu utagundua ni kwa kiasi gani hawa vijana wanawaaminisha mabinti kuwa wao ndo mambo yote. mtu kama ni backup anatakiwa ajue kuwa yeye ni backup, kama unashindwa kumfanya ajijue kuwa yeye ni backup basi ndo matokeo yake hayo, anakuwa na wivu kwa wife.
tatizo la siku hizi mapenzi yamehamia kuwa kama ya kwenye Isidingo, kila mtu anataka kuonyesha utaalamu wake katika hilo. sasa unafikiri ukimchanganya binti wa watu huko nje ataweza kuvumilia asimkorofishe wife? anafikiria kama mimi kwa masaa machache tu inakuwa hivi je huyo wa 17/7? hawajui kuwa wakati mwingine hiyo 17/7 inakuwa ni mazoea tu.... hapa naomba nisifafanue zaidi, lol!

Wakubwa wenzio tunakuelewa kabisa....

Hawa vijana inabidi ama waache hayo mambo ya nje kama sie au watumie akili kubwa, hekima na busara....

Vinginevyo, huku Ta wanaita kuhesabiwa vyuo......idadi inaweza kusoma hadi speed metre ikakatika!!

Babu DC!!
 
wewe unafikiri kwa nini mimi bado kidogo nipelekwe mirembe enzi hizo? sababu ya uaminifu 100%
swali ambalo sikuwa naacha kujiuliza ni kwa nini asiwe kama mimi? mbona mimi sifanyi hivyo?.....
na haki ya nani nikija kugundua tena naona ndo itabidi mje kunisindikiza kabisaaaaaa

Mmeshakuwa watu wazima bwana,

Naamini hakuna tena hiyo nafasi ya majaribio....Hata ikitokea, mzee mwenzetu lazima asepe kimya kimya kama wazee wetu walivyokuwa wanatutoroka kwenye toilet za maporini...

Hadi tulikuwa hatujui kama baba na mama nao wanaendaga msalani....lol!!

Zile species bwana zilikuwa special, kwa sasa ni endengered zaidi kuliko viumbe wote!

Babu DC!!
 
rafiki mpango wa kando ulikuwepo tangu zamani lakini siyo lazima kila mtu awe nao....
wewe unaweza kuchagua kutokuwa na mpango wa kando. believe me utaishi kwa amani sana na itafurahia maisha yako usipokuwa na mpango wa kando. Jaribu kuacha, utakuja kunihadithia

Kweli kabisa FP,

Mie kuna siku nilitania kabinti kamoja hivi kakasema kuwa katanipigia simu baadaye... Hadi naondoka mahali hapo hakakupiga......Nilipata taabu usiku mzima, hadi nakumbatia simu utadhani nimeokota kitita cha dola 1mil!!

Ilipofika asubuhi nikamwambia asipige na kwamba nimeenda nje ya nchi kikazi....

Ni biashara ya mateso sana hii... Laiti wangejua!

Babu DC!!
 
Back
Top Bottom