ENANTIOMER
JF-Expert Member
- Sep 22, 2014
- 1,419
- 804
pole muajiriwa. ila unavyolialia unaonekana kufanana na mwenyen kutafuta nafasi fulani, na si vinginevyo. usikate tamaaamm sio non professional teacher na wala sifiri kuingia katika sekta ya elimu kwa kuwa mm ni mwajiriwa wa serikali katika fani niliyobobea
kwanza naomba unipe data juu ya mwalimu hata mmoja ambaye unaona ni kilaza. mimi sijamuona tangu nazaliwa.sijasema wote walizosomea ualimu ni vilaza nimesema wengi wao ni vilaza, wewe ukakurupuka maskini ukaenda kuleta evidence document ya wanafunzi wa ualimu wa tatu alfu uka fanya conclusion
list niliyoleta inaonyeesha mtu wa kwanza kushuka chini, na majina yamepangwa kwa ufaulu. sasa angalia mtu wa kwanza kwa afaulu aliyechaguliwa ktk moja ya enginea zenu, kisa ulinganishe na mtu upande wa walimu. hata hivyo. ukitaka kuona list nzima ya waliochaguliwa ktk kila program, nenda www.udsm.go.tz utakuta list nzima. chunguza kisha ulete marejesho kua ktk list ya walimu waliochaguliwa, ni nani unamuona ni kilaza.
naanza kuhis una mawazo kwamba, mwenye div1 ya point 6 ana akili zaidi ya mwenye div1 ya point 8. na hata ufanisi wa kazi zao ktk ajira, wenye div1 ya 6 atakua vizuri zaidi ya mwenye div1 ya 8. kama mawazo yako yangekua sawa, basi ktk makampuni kusingekua na interview ktk kuomba kazi, bali wangekua wanaomba vyeti tu na kuangalia ufaulu kisha wanawapa kazi wenye ufaulu mkubwa.
kwa taarifa yako. chuo kikuu aliyekua T.O hua haongozi ktk mitihani. kuna mijitu ilipata hata one za 7 huko na ina hasira na kitabu. unalikuta na 'kozi weki' ya juu muda wote. labda nikuulizze, ni lini ulisikia kua aliyekua T.O wa mwaka fulani kaibuka kua 'best student' chuo fulani? sasa huyo T.O aliwashinda wengine huko kwenye vidato na hao waliomshinda huko chuo kikuu, nani yuko juu zaidi ya mwenzake.
mawazo ya watanzania wengi wenye kuona mbali ni kwamba 'hatutaki mtu asiye mwalimu kufanya kazi ya ualimu'. mbona hujatoa wazo la nyinyi na wengine kama mimi tusio wataalamu wa mambo ya afya tukajitolee ili kutatutua taatizo la upungufu wa madaktari ktk hospiitali zetu za umma?non professional teacher tunawapendekeza ili waje kuwa na msaada kwenu
milango iko wazi taamisemi. ukitaka/mkitaka kusaidia kama mwalimu, basi nenda/nendeni taamisemi wakupeleke/wawapeleke kozi fupi ili msaada wako/wenu uwe na tija kwa taifa. kama hutaki kusoma kozi fupi, basi huhitajiki ktk ualimu kwani hutweza kufaanya kazi ya ualimu. au nenda ukasaidie jeshini na utake kusaidia bila kupewa kozi zao!