Ualimu ndio taaluma pekee yenye mamluki na makanjanja wengi, taaluma imeingiliwa na watu ambao hawana taaluma ya kazi hii huku wengi wakiwa ni wale waliokuwa wanasema hawawezi kuwa walimu baada ya kukaa mtaani wamekimbilia kwenda kufundisha shule za binafsi.
Wito wangu kwa serikali taaluma ya ualimu iheshimiwe kama taaluma zingine wamiliki wa shule binafsi wapigwe stop kuajiri watu wasio kuwa na taaluma ya ualimu, maana kwa sasa hazina ya walimu iliyopo mtaani inatosha kufundisha shule za binafsi, lakini vilevile kama kuna mtu anapenda kuwa mwalimu aende akasomee rasmi taaluma hiyo.