U-SPIKA: Sitta, Chenge wapigwa panga CCM!

Hii ndo tz bwana! sisiem have no shame, huyu makinda hakuwa na mvuto hata kidogo! Abdalah na uzee wake atafanya nini? Ningekuwa mbunge ningegoma kufanya uchaguzi, ningewakataa wote, au kama wapinzani wana nafasi basi Mabere has to win.
 
I'm smelling rat, something doesn't seem right somewhere within ccm.
Sitta might have been avictim of a double-edged sword; Chenge et al. and Msekwa being a party vice chair may have used the opportunity to inflict revenge on Sitta for defeating him 5 years ago!
Kwa wanaomjua Mzee Msekwa, ni mtu wa visasi na huwa hawaachii maadui zake kisiasa.
 
Anna Makinda miaka 61

EDUCATION

  1. Institute of Development & Management - Morogoro Administration Course 1971 1975 ADV DIPLOMA
  2. Kilakala Girls' Secondary School(Marian College) A-Level Education 1969 1970 HIGH SCHOOL
  3. Masasi Girls' Secondary School O-Level Education 1965 1968 SECONDARY
  4. Peramiho Girls' Middle School Primary Education 1961 1964 PRIMARY
  5. Uwemba Primary School Primary Education 1957 1960 PRIMARY
Mama hana degree huyu!

Anna Magreth Abdallah received a Bachelor of Arts degree in sociology from Missouri Sociology College in the United States in 1963. In 1967 she received a Diploma in Home Economics from the University of London in the United Kingdom.http://en.wikipedia.org/wiki/Anna_Abdallah#cite_note-0

Huyu mama ana miaka 70 lol! sidhani kama anaweza uspika, akili imedumaa.

Source: Mbali mbali
Anna Abdallah ni wife wa ex-speaker, hivyo watasaidiana kuendesha shughuli za bunge kwa pamoja, yaani Pius atakuwa anaingia bungeni na mobile-phone na kila wakati atakuwa anamuelekeza, na sometimes ataonesha kwa vitendo kama vile wanavyofanya makocha wa Football!!

Loo, sipati picha Pius karudi bungeni kimtindo!!
 
Nimeamini mafisadi wana nguvu kubwa ndani CCM kuliko wapiganaji kina Smwel Sitta na wenzake. Samwel Sitta kutolewa kwenye kinyag'anyiro cha uspika ni ishara kuwa Mafisadi ni washindi ndani ya CCM. Wengi walikuwa wanamtarajia Sitta kuwa spika bora wa bunge letu japo kuna wengine wasioona utofauti kati ya Sitta na Chenge kwani wana maslahi na chama chao chenye dola. Kwa vyovyote vile wangeitetea chama chao kwa namna moja au ingine.

Kilichotendeka ndani ya kikao cha CCM ni ishara ya kuwa mafisadi wana nguvu hivyo wanaojifanya wanapigana na ufisadi ni waongo na waoga.
 
Kudadeki Kweli ng'ombe wa masikini hazai na akizaa anazaa dume na dume levyewe linakufa, akizaa jike linakuwa tasa. Pamoja na kupiga kura zetu kwa bidii thithiem wanaweka spidi gavana badala ya spika mwenye akili timamu. hawa wote alioteuliwa ni vimeo na wako kwa maslahi ya mafisidi sio siri inakera, CCM watakua lini waache mambo ya kitoto. Kwakweli tumechoka na tutegemee bunge linalobore na kusubiri miaka mitano iishe. siamini kama niko bongo kwenye chama tawala cha kichina.
 
Yaani akipita Anna Makinda kuwa Spika bunge litakosa heshima na kuwa na maonevu ya wazi. tukumbuke yaliyokua yanatokea kati ya Anna makinda VS Marehemu Chacha Wangwe.
 
nawaambieni safarii hii kwenye bunge hili watu watachapana makonde yule anna makinda anajifanya mbabe sana
 
Kwa staili hii Mabere marando anaweza kupata nafasi ya Uspika kwani tunahitaji wabunge 72 tu kutoka CCM

Hapo sasa kazi kwa wabunge wa CCM. Hapa ndio tutajua kama kweli kama wabunge wa CCM wapo bungeni kwa maslahi ya nchi au maslahi ya mafisadi. Upinzani inabidi ifanye documentation ya haya matukio and tell the public what exactly is going. The 2015 election campaign s should have begun by now.
 
Kudadeki Kweli ng'ombe wa masikini hazai na akizaa anazaa dume na dume levyewe linakufa, akizaa jike linakuwa tasa. Pamoja na kupiga kura zetu kwa bidii thithiem wanaweka spidi gavana badala ya spika mwenye akili timamu. hawa wote alioteuliwa ni vimeo na wako kwa maslahi ya mafisidi sio siri inakera, CCM watakua lini waache mambo ya kitoto. Kwakweli tumechoka na tutegemee bunge linalobore na kusubiri miaka mitano iishe. siamini kama niko bongo kwenye chama tawala cha kichina.

Kichina ! No way, hatuitendei haki China inayoikimbiza dunia kimaendeleo leo. Hiki ni chama kinachopatikana na kuweza kuishi Tanzania Tu, na si sayari nyingine yoyote
 
Kwa ujumla CCM inajichimbia kaburi kwenye hili. Lengo hapa ni kuwaburuza wapinzani lakini wajue kuwa sehemu ya kusemea wapinzani si bungeni tu, kama hoja ikiminywa bungeni wao wanaipeleka kwa wananchi moja kwa moja.
 
Kudadeki Kweli ng'ombe wa masikini hazai na akizaa anazaa dume na dume levyewe linakufa, akizaa jike linakuwa tasa. Pamoja na kupiga kura zetu kwa bidii thithiem wanaweka spidi gavana badala ya spika mwenye akili timamu. hawa wote alioteuliwa ni vimeo na wako kwa maslahi ya mafisidi sio siri inakera, CCM watakua lini waache mambo ya kitoto. Kwakweli tumechoka na tutegemee bunge linalobore na kusubiri miaka mitano iishe. siamini kama niko bongo kwenye chama tawala cha kichina.
Siku wakikuwa tayari nchi haitakuwa mikononi mwao. Ipo siku tu tutafanikiwa.
 
CCM bwana!! hivi Mr. six alikosea wapi
?

Mie nilijua tuuu. Lile kundi la Mafisadi ndo limeandaa njama hii. Namuonea huruma sana Kikwete, bora ungekataa fedha zao walizokusapoti kuwa President. Sasa wanataka fadhila huna cha kufanya. Sitta hana tatizo tatizo ni kwa wasaidizi wako wanaojilimbikizia mali kweupeeeeeee. Loh jamani my prezidaaaa please hebu tengua maamuzi hayo mrudishe sitta!! wewe ni executive baranch bwana, hakina separation of power tanzania. Vinginevyo Mzee Kikwete CCM kwa mara ya kawanza inafia mikononi mwakoooo!!! Pole mzeeeeeee
 
Back
Top Bottom