siwezi bishana na wewe najua naumiza kichwa changu tu wewe si mwelewa... hufuatilii mambo na kwa taarifa yako hujui nafasi ya Rais katika jeshi....hujui nini msimamo wa fdlr unacholazimisha ni kuona kila nchi inaendesha mambo yao kibongobongo.....rwanda siyo bongo na bongo haiwezi kuwa rwanda.....pk si mtu wa kujikanyaga anasema anachomaanisha tz tumetawaliwa na uswahili