U.S. tells Rwanda to immediately end support for M23 rebels

Ukweli gani huo zaidi ya lies lies na garbage mnazomwaga humu?Kagame angewaachia watu kama nyie Rwanda ingekuwa failed state and more millions wangekufa kwa vita,njaa na magonjwa,na hizo story za kusema Kagame anawaua wahutu hata wahutu wenyewe wakikusikia watakushangaa sana,say what you say lakini Rwanda under Kagame inaendelea sana kiuchumi and very peacefully,na ni number one in African continent katika least corruption index
Kwa hiyo na Wamerekani waliowaambia muacha kuwasaidia watutsi wenzenu wa M23 nao ni interahamwe sio? Kwa sababu kila anayewaumbua mnampa jina la interahamwe. Akili ndogo. Hivi kwnn hamkubali ukweli? Mnataka tu msifiwe hata pale ambapo hamstahili sifa! Unasema eti wahutu watashangaa ikisemekana kagame kawaua wahutu..watashangaa lipi wkt it is a day light truth. Mnawabagua, ukipita barabara za rwanda askari wengi ni watutsi; asilimia kubwa ya watu wenye nyadhifa kubwa rwanda ni watutsi. Unazani hao wahutu na watutsi wapenda amani (kama basi wapo) wanafurahishwa na hiyo hali? Jengeni umoja nchini kwenu, pendaneni acheni kubaguana kwa urefu wa pua! Kuonyesha kuwa nyie ni wabaguzi hata Kanisani mnabaguana. Mtu akiangalia kwa mfano zile kanda za kwaya ya Wasabato walioimba wimbo maarufu wa kwetu pazuri inaonyesha wazi ubaguzi kwani ni watutsi watupu wamejaa kwenye hiyo kwaya!
 
kubishana na lodirofa na wewe utaishia kuwa lodirofa tuu kama wewe rushasha
 
Haina shida ndugu..ita majina yooote, tukana matusi yoote unayoyajua. Ila huo ni ukweli. Asante kwa matusi na ubarikiwe. Ila hayo yote yanakutoka kwan yamekuingia vizuri. GOD bless Africa and GOD bless you Koba too.
 
Kwa hiyo na Wamerekani waliowaambia muacha kuwasaidia watutsi wenzenu wa M23 nao ni interahamwe sio? Kwa sababu kila anayewaumbua mnampa jina la interahamwe. Akili ndogo. Hivi kwnn hamkubali ukweli? Mnataka tu msifiwe hata pale ambapo hamstahili sifa! Unasema eti wahutu watashangaa ikisemekana kagame kawaua wahutu..watashangaa lipi wkt it is a day light truth. Mnawabagua, ukipita barabara za rwanda askari wengi ni watutsi; asilimia kubwa ya watu wenye nyadhifa kubwa rwanda ni watutsi. Unazani hao wahutu na watutsi wapenda amani (kama basi wapo) wanafurahishwa na hiyo hali? Jengeni umoja nchini kwenu, pendaneni acheni kubaguana kwa urefu wa pua! Kuonyesha kuwa nyie ni wabaguzi hata Kanisani mnabaguana. Mtu akiangalia kwa mfano zile kanda za kwaya ya Wasabato walioimba wimbo maarufu wa kwetu pazuri inaonyesha wazi ubaguzi kwani ni watutsi watupu wamejaa kwenye hiyo kwaya!

Interahamwe
 
Mie nasubiri Kagame ajibu mapigo kwa USA kama alivyomfanyia mtukufu rais wetu
 
556654_202283199898500_586300820_n.jpg
Tanzania imehifadhi wakimbizi wa Rwanda tangu mwaka 1959. Umesahau Watutsi walikuwa wanaishi kambi ya MWESE iliyoko Mpanda mkoa wa Katavi?? Mpaka sasa kuna baadhi bado wanaishi huko. Ndiko akina Koba, Murutongore, n.k. walizaliwa, wakala na kusoma bure kwa kodi za Watz na sasa wanajifanya wajanja! Kweli shukurani ya punda ni mateke.
Koba Ruzibiza na wengineo kuwaonyesha jeuri ili waache mitusi yao ni kumgonga huyu Kagame kabla USA hajamuadhibu ndipo watakaposhika adabu maana wamezoea kuishi kikimbizikimbizi tu hawa hasa katika nchi za watu.
Asili ya watutsi hawana nchi sasa wanavyoitafuta RDC kwa kuona wameshatulia Rwanda, ni kuwatimua tu

Youth Connekt dialogue - Rwandan Youth Meet President Kagame- Kigali, 30 June 2013 - YouTube
Muuaji mwenyewe hana tofauti na saddam au Gadaffi kwani siku zote ni kujisifia na kuuhadaa ulimwengu kuwa unapendwa, sasa kaichokoza tanzania ndio mwisho wake
 
Last edited by a moderator:

Unatafuta attention tu ngoja nikujibu ujisikie vizuri na wewe...:Cry::Cry:!
 
Hivi kuna mtu anayeweza kutafuta attention kwako wewe koba? Labda murutongere, rusizibi na baadhi ya watutsi wenzenu mliojaa damu za watu mikononi mwenu!
 
Mambo ya kawaida yale na ndio demokrasi ilivyo,na infact walikuwa interahamwe wenzako wanaojifanya Congolese,dont worry one by one mtashikwa wote.

Wewe na hao interahamwe mna tofauti gani? Kama waliua watutsi na nyie watutsi mliua wahutu wengi sana na bado mnawaua huko Kongo mlikovamia!..so, INTERAHAMWE = murderer tutsi
 
Unatafuta attention tu ngoja nikujibu ujisikie vizuri na wewe...:Cry::Cry:!
wewe...:Cry::Cry:

wewe...:Cry::Cry:

wewe...:Cry::Cry:
wewe...:Cry::Cry: na weqwe nakurudishia maana nyie Watutsi mna MATUSI ya aina nyingi na wewe...:Cry::Cry: Koba umesikia BBC Swahili leo ? wenzako wanne wa 23 wanatakiwa kufikishwa mbele ya mahakama huko DRC na kagame kanywea kakubali kweli wapo Kigali ila ni wakimbizi (Eti hawawezi kukamatwa kwa vile ni Wakimbizi)
Huo mchezo wa Kagame asifikiri alivyomficha NTAGANDA ndio kwa Tanzania tukitaka kukupa ta wewe huko Pasadema California tutashindwa.
Hebu mtume jamaa yako tena amjibu Barack Hussein Obama km hamukuona ndege zisizo na rubani zimetanda Rwanda sijui mtarudi Somalia au Ethiopia?
 
Barack Obama ndio baba yenu..hahahaha...mtasubiri sana
 
uwezo tunao, nia ya kumpiga tunayo na sababu ya kumpiga kagame tunayo.... Apigwe, majeshi songa mbele!
 
Kuna siku itabidi tulazimishane kukubaliana kuwa si vizuri kucheza kwenye makaburi ya watu. I hate people who dance on graves of those who died in Genocide. The know what death is, and for sure they would not like another human being to die in violence like they did.Tunatakiwa tukumbuke kuwa wakati Fred Rwigema RIP (Mtu muhimu sana kwa uhuru na usalama wa watu wa Afrika mashariki) anaanza kupambana na serikali ya Hyabyarimana hakukuwa na genocide, wakati makubaliano ya Arusha yanasainiwa hakukuwa na Genocide wakati RPF wanaingia Rwanda hakukuwa na Genocide, leo kusema kina RPF walienda kusimamisha Genocide.....utter non-sense, just a pack of bs. Let us not dance on graves of those who died in Genocide...let them rest in peace, do not use them.
 
Barack Obama ndio baba yenu..hahahaha...mtasubiri sana
Rais wenu amesema tutawasaka popote mlipo hasa wewe mtutsi pamoja na 2koba wako mumwambie kabisa na paul kagame tunakuja sasa, na kwli mtafute ethiopia mlikotokea maana mmezizi kero, kero na ni mahayawani.
Huyo Obama ni mjaluo na kihistoria hamkudhubutu kusimama katika Himaya za Wajaluo mkapitiliza hadi kwa Watwa, huyo jaluo akiingia ndugu zako watakufuata huku Tanzania, hivi ni kwa nini hamuondoki

AKIONGEA KWA UJASIRI "NIMECHOKA"tutafanya operation kubwa ambayo haijawahi kutokea KAGERA,GEITA NA KIGOMA kwa kuvishirikisha vyombo vyote vya ulinzi mnavyovijua, akivitaja, JWTZ, POLISI NA USALAMA WA TAIFA.
Ametahadhalisha kuwa wageni waanze kuondoka wenyewe na kurudi nchini kwao, "tutawasaka majumbani kwao, misituni, walikochimbia silaha zao na risasi" - TAYARI NIMESHAWASILIANA NA VIKOSI VYOTE VYA ULINZI"
Source:Chanel Ten.
My take:
Majambazi wasakwe kote nchini kwa mwendo huuhuu. NAUNGA MKONO HOJA!
hasa huyu murutongore tutatoa hata hizo IP address tukufumue ulipo na Watutsi wote
Naona Rais JK anawafichia SIRI ni atamke kabisa safisha WATUTSI tutamsaidia
 
Last edited by a moderator:
Kuna siku itabidi tulazimishane kukubaliana kuwa si vizuri kucheza kwenye makaburi ya watu. I hate people who dance on graves of those who died in Genocide. The know what death is, and for sure they would not like another human being to die in violence like they did.Tunatakiwa tukumbuke kuwa wakati Fred Rwigema RIP (Mtu muhimu sana kwa uhuru na usalama wa watu wa Afrika mashariki) anaanza kupambana na serikali ya Hyabyarimana hakukuwa na genocide, wakati makubaliano ya Arusha yanasainiwa hakukuwa na Genocide wakati RPF wanaingia Rwanda hakukuwa na Genocide, leo kusema kina RPF walienda kusimamisha Genocide.....utter non-sense, just a pack of bs. Let us not dance on graves of those who died in Genocide...let them rest in peace, do not use them.
Hawa watu wa RPF ni wauaji kabisa yaani wasakwe na kutimiliwa km hawawezi kuishi na wenzao.
Ni kweli walipoingia Madarakani wao ndio walioitungua Ndege ya Habyarimana na kusababisha Genocide
Wao ndio wanaosababisha visasi na ndio Mataifa yakaamua mahakama iwe Arusha, lakini bado wameanzisha Gachacha na watu muhimu kama Kagame bado yupo na hajifichi, kama Obama kayaona ni ulimwengu sasa utayashuhudia maana koffi Annan alinyamaza kumkemea tu huyo muuaji.
 
Back
Top Bottom