Godlisten Masawe
JF-Expert Member
- Jul 20, 2011
- 738
- 283
Bashar ameua zaidi ya wasyria laki moja,unasema kwanini US wanawapa siraha wapinzani wa Bashar???wewe ulitakaje???aendelee kuua???
Kule kuna vita kati ya magaidi na jeshi la serikali, popote palipo na vita mauaji lazima kutokea! upo hapo dogo? Magaidi wameshika silaha wanataka kupindua nchi alafu wewe ulitaka Serikali ifanyaje? icheze marede?
Una uhakika na unachozungumza? Marekani na Russia wamefungua uwanja wa majadiliano kati ya serikali ya Syria na wapinzani (waasi), hao waasi unaowashabikia wamekataa ku join madhungumzo uti mpaka wapatiwe silaha za kuweza kupambana na jeshi la serikali ya syria, unafahamu hilo au unaongea tu?juhudi nyingi zimefanyika kuleta suluhu lakini Bashar ni jeuri hataki.
DRC nako unasema tusiunge mkono vikosi kupelekwa huko kwani tatizo la wakongo litamalizwa na wakongo UNAUHAKIKA NA UNACHOSEMA???HOW??nadhani sanasana unanitafutia ban.
wewe unafikiri matatizo ya congo sisi watanzania tutaweza kuyatatua? au unafikiri matatizo yanatatuliwa kwa silaha? hata raisi wako Kikwete kawambia rwanda,burundi,uganda na congo wakae mezani na waasi wayamalize kwa mapatano! au na hili haulifahamu?