mokala1989
JF-Expert Member
- May 4, 2013
- 2,236
- 730
msiposikia ya raisi kikwete na jumuiya ya kimataifa ni hawa hawa watakowarudisheni ukimbizini kama mlivyozoea kuishi wewe na raisi wako. kweli sasa nakubali kunguru hafugiki.
Mambo ya kawaida yale na ndio demokrasi ilivyo,na infact walikuwa interahamwe wenzako wanaojifanya Congolese,dont worry one by one mtashikwa wote.kweli wewe ni kituko na kupigwa na mayai viza nayo sikuizi kumbe ni aina ya tuzo? RWANDA kazi ipo...!
Ha ha ahaha .....seems unataka kuwafanya watanzania wawe defacto enemy wa Rwanda,it wont work brother,na usidanganye wala kuleta garbage zako humu as if Tanzania na Rwanda wana ugomvi wowote....HAKUNA!!!najua wanyarwanda na dunia kwaujumla wamezoea watanzania ni watu wapole sana na wastaarabu hata pale wanapochokozwa, mfano pamoja na kanali gadafi kutuma jeshi lake uganda kumsaidia amini , bado watanzania kwa upendo mkubwa waliwarudisha salama askari wa libya waliotekwa vitani! Gadafi hakutarajia, wanyarwanda mlipochinjana kama kuku tuliwapokea kwa upendo na kuwahifadhi kwenye makambi yetu kama binadamu pamoja na mabaya yenu yote ya uporaji na mauaji kwa kutumia silaha mlizotoroka nazo kwenu na hata wengine kufanya mazoezi ya kijeshi ndani ya makambi achilia mbali uharibifu mkubwa wa mazingira na gharama kubwa taifa lililoingia kuwasomesheni na kuwalisha mliokuwa makambini! Hata wanyarwanda wakimbizi hamkutarajia ukarimu huo, kikwete na taifa la tanzania kutukanwa matusi ya nguoni bila sababu na kinyangarika kagame bila bila kujibizana nae kwa matusi kama alivyotarajia, pamoja na umasikini kama yalivyomataifa mengine ya afrika tulijitolea pasipo chuki na kwa moyo wote na kuifanya nchi yetu iwe kitovu na uwanja wa mapambano wa kuwakomboa ndugu zetu ambao bado walikuwa kwenye minyororo ya ukoloni kusini mwa bara la afrika,. Lakini kwa upande mwingine tulivunja uhusiano wa kibalozi na israeli mara moja baada ya kuthibitisha ukandamizaji wake dhidi ya wapalestina pia tulivunja ubalozi wetu na nigeria mara moja baada ya kugundua wananchi wa jimbo la biafra wanananyanyaswa ndani ya nchi yao na kuwasaidia kwa nguvu zote katika harakati zao za kujitenga bila kujali kelele za oau na ukubwa wa jeshi la nigeria . Haya na mengineyo hamna aliyetarajia isipokuwa watanzania wenyewe. kwa rwanda ilipofikia sio wakuvumilia tena, tumeshachoka na umwagaji wa damu unaoendelea drc na ndani ya rwanda, sasa ni kupiga tu kuleta amani ya kweli rwanda na kongo.
Ha ha ahaha .....seems unataka kuwafanya watanzania wawe defacto enemy wa Rwanda,it wont work brother,na usidanganye wala kuleta garbage zako humu as if Tanzania na Rwanda wana ugomvi wowote....HAKUNA!!!
Sijaona popote slim boy akishtakiwa au kuwa wanted kwa genocide au mauaji,ni allegations na noise tuu kutoka kwa watu kama wewe na ------ wasioelewa,wanted list ya genociders ni hao wajomba zako unaotaka kutuonyesha humu ndio victims kumbe wauaji wakubwa,you lost boy..najua watusi nyie ni wabinafsi sana, usijali koba madhara ya vita atakayoianzisha kagame hayatakufikia marekani ulikoolewa, kama umwagaji wa damu unaoendelea drc sasa kwa support ya dikteta kagame , usivyokuathiri kwa lolote ukipunga upepo usa, endelea tu kumsupport slim boy kagame, wala usijali kabisa watanzania tunahuruma sana tutaendelea kufurahia mauaji anayoyafanya slim boy.
sijaona popote slim boy akishtakiwa au kuwa wanted kwa genocide au mauaji,ni allegations na noise tuu kutoka kwa watu kama wewe na ------ wasioelewa,wanted list ya genociders ni hao wajomba zako unaotaka kutuonyesha humu ndio victims kumbe wauaji wakubwa,you lost boy..
Hahahahahah. umeishiwa na sera wewe. hatukula bure. sisi sio ombaomba wewe. kwa taarifa yako hiyo kambi ya mwese ilikuwa pori lakini kwa nguvu zetu tuliijenga tukalima chakula chetu, tukafuga n'gombe tukaanza kuwalisha majirani zetu, shule zilijengwa na tukasoma katika mazingira magumu ambayo wew najua usingeyaweza (mtoto aliyezaliwa ocean road). nothing was given on a golden plate. so haya mafanikio yote ni kutokana na nguvu zetu na so bakuli la ombaomba. you can learn a lot from us if you want
USA anaunga mkono waasi wa Syria na anawapatia silaha ili waipindue Serikali ya Syria, mbona hao Human Right Watch sijawasikia waipinge USA silaha zake zinamwaga damu za wasyria, nyani haoni kundule?
Wana JF sio kama wanaunga mkono M23/Rwanda, sipendi unafiki wa USA hasa maslahi yake yanapoguswa.
Vile vile sisi wa-Tz hatutakiwi kuunga mkono vikosi kwenda Congo, mzozo wa Congo hauwez kutatuliwa kwa bunduki hata Yesu atakapo rudi, mzozo wa Congo utatatiliwa na wacongo wenyewe kukaa mezani na kujadili namna wote watakavyonufaika na raslimali za ile nchi, tusiwe mashabiki maandazi.
sijui kama kuna mkimbizi humu.....
utasubiri sana tukamatwe. Na hiyo bwana enu kagame na genge lake waliosababisha mauaji ya kimbari siku zao zahesabika!
Ha ha ahaha .....seems unataka kuwafanya watanzania wawe defacto enemy wa Rwanda,it wont work brother,na usidanganye wala kuleta garbage zako humu as if Tanzania na Rwanda wana ugomvi wowote....HAKUNA!!!
Mkuu i think you are noticing the same here. There are very few interahamwe here who are out to poison the rest of the members and tanzanians into hating rwandese.
The Problem is the arrogance of PK, and because he is the one who can pull the trigger and cause havoc to TZ, Tanzanians dont hate Rwandese.
Sasa wewe kila mtu anayewaambia ukweli mnamwita interahamwe; sisi sio hao watu unaowasema; swala hapa ni ukweli usemwe na aim kubwa ni kuhakikisha amani inapatikana eneo la maziwa makuu. Hao intarahamwe ni kweli waliua lakini waanzilishi au wasababishi wa genocide ni nyie watutsi mkiongozwa na kagame na museveni. Tena nyie ndo mliwaua wahutu wengi na mnaendelea kuwauwa kwa sababu mnawaona sio watu ila nyie watutsi ndo watu peke yenu; hii ni dhana mbaya sana! Endelea kutuita interahamwe lakini ukweli lazima usemwe! Najua wewe Koba na wenzako mtaendelea kutukana na kutuita interahamwe; lakini hiyo ni dalili kuwa tumewaambia ukweli kitu ambacho hamkitaki!Mambo ya kawaida yale na ndio demokrasi ilivyo,na infact walikuwa interahamwe wenzako wanaojifanya Congolese,dont worry one by one mtashikwa wote.
we mwehu kabisa hawajala bure walifanyakazi alafu kodi wanatoa pia...hujui usemalo hujui citizenship inapatikana kwa njia gani ndo hiyo kukurupuka...mwishowe unaambiwa ni "utter nonsense"....hivi ungekuwa na akili ungesema kuhusu mwese?kwani nani hajui kama ilikuwa kambi?ok unachotaka ni nini sasa?hueleweki kaka
Huna lolote,wewe ni hater wa watutsi tuu hata kujificha huwezi tena,na hayo maisha unayoyasema si ndiyo maisha ya 99% ya watanzania?wewe mwenyewe unaonekana njaa tupu maana mtu aliyekuwa katika privileged life hawezi kuandika ----- ulioandika and you sound bitter seems bado una struggle na maisha wewe,goodluck!Najua sana kuwa Mwese ilikuwa kambi ya wakimbizi na watutsi mliokuwa huko mlikuwa choka mbaya kiuchumi. Watutsi wa Mwese nimesoma nao sekondari (O-Level); kuna ambao hawakuwa na uwezo hata wa kununua kandambili za madukani, walikuwa wanavaa makobazi (ndala za magurudumu ya gari). Wengine walikuwa wanatimuliwa shuleni kwa sababu ya kushindwa kulipa ada hadi waliporudi Mwese kutembeza bakuli. Kutokana na economic hardship within their families kimasomo wali-perform vibaya. For instance, miaka minne niliyokaa shuleni haikuwahi kutokea hata mtutsi mmoja ku-score division one or two. Ni mwaka mmoja tu ambao watutsi wawili wali-score division three (point 24 na 25), you see! Nakumbuka kisa kimoja ambapo mtutsi mmoja (mwanafunzi) alikamatwa akiiba kuku wa shule ili akauze apate pocket money. Mtu anaye-admire watutsi hawajui vizuri.
Tueleze ni biashara gani mlizokuwa mnafanya Mwese ambazo zilichangia kuinua uchumi wa Tz? Tuambie pia wilaya ya Mpanda ilifaidikaje kutokana na uwepo wenu katika wilaya hiyo? Jamani muwe na aibu hata kidogo, hiyo tabia yenu ya kulazimisha uongo uonekane ukweli haitawasaidia!
Ukweli gani huo zaidi ya lies lies na garbage mnazomwaga humu?Kagame angewaachia watu kama nyie Rwanda ingekuwa failed state and more millions wangekufa kwa vita,njaa na magonjwa,na hizo story za kusema Kagame anawaua wahutu hata wahutu wenyewe wakikusikia watakushangaa sana,say what you say lakini Rwanda under Kagame inaendelea sana kiuchumi and very peacefully,na ni number one in African continent katika least corruption indexSasa wewe kila mtu anayewaambia ukweli mnamwita interahamwe; sisi sio hao watu unaowasema; swala hapa ni ukweli usemwe na aim kubwa ni kuhakikisha amani inapatikana eneo la maziwa makuu. Hao intarahamwe ni kweli waliua lakini waanzilishi au wasababishi wa genocide ni nyie watutsi mkiongozwa na kagame na museveni. Tena nyie ndo mliwaua wahutu wengi na mnaendelea kuwauwa kwa sababu mnawaona sio watu ila nyie watutsi ndo watu peke yenu; hii ni dhana mbaya sana! Endelea kutuita interahamwe lakini ukweli lazima usemwe! Najua wewe Koba na wenzako mtaendelea kutukana na kutuita interahamwe; lakini hiyo ni dalili kuwa tumewaambia ukweli kitu ambacho hamkitaki!
Ukweli gani huo zaidi ya lies lies na garbage mnazomwaga humu?Kagame angewaachia watu kama nyie Rwanda ingekuwa failed state and more millions wangekufa kwa vita,njaa na magonjwa,na hizo story za kusema Kagame anawaua wahutu hata wahutu wenyewe wakikusikia watakushangaa sana,say what you say lakini Rwanda under Kagame inaendelea sana kiuchumi and very peacefully,na ni number one in African continent katika least corruption index
Mkuu, huyu jamaa yuko misunderstood sana. Kagame hana tatizo na tanzania. Rwanda haina tatizo na tanzania. Wanoyarwanda na watanzania ni ndugu. Kagame ni kiongozi mzuri. ni kiongozi anaependa maendeleo ya nchi. ana uchungu na nchi yake. anataka kuwatoa kwenye umaskini. kagame sio mtu wa ugomvi. halafu kagame ni rafiki ya kikwete. haya mambo yamekuzwa na media pamoja na watu ambao wanataka waone mauaji mengine yakitokea ili wa benefit. Mkuu, rest assured kuwa wanyarwanda hawana tatizo na tanzania hata kidogo.