U.S. tells Rwanda to immediately end support for M23 rebels

U.S. tells Rwanda to immediately end support for M23 rebels

Pk ni raisi na anajua ujenz wa uchumi. Hvo alienda kufanya kama walivofanya na yanavofanya mataifa ya magharibi mpaka leo hii. Tanzania imelala ndo mana inashobokea huu mgogoro lakin je ni vibaya kwa rwanda kula cha africa? Sion haja ya malumbano hapa
 
Thats the end of the Game to P.Kagame...yani JWTZ inaita last Card...tena mavi ya mbuzi ya tripple7,wakati Kagame bado ana Joker na bwana na bibi....Kumbe kelele zote zile n sbb tumetekenya masabuli ya Kigali...Dah kweli Ziara ya Obama inajibu

Subiri tu...nyege za nn? sisi tukiingia uwanjani huwa tunakuwa tumeshapanga matokeo...
 
Kagame alifikiri JK ni size yake. Tutarajie basi awatishie marekani kama alivyomtishia Rais Kikwete na serikali ya Tanzania
 
Tulishasema humu siku nyingi kuwa 'rules of the game' zimeshabadilika, kuanzia kufichuliwa kwa uhusika wa Kagame mwenyewe na kagenge chake cha wahuni katika genocide ndani ya Rwanda na uendelezaji wa mauaji ndani ya Congo katika pretext yake kuwa anawasaka ex-FAR. Sasa dunia imesema basi, Afrika imesema basi na SADC imeonesha njia...! Kagame must go....! Kuna njia nyingi za kumchuna ngozi paka...........lakini SADC imeamua kupitia ile njia ngumu zaidi!
 
Huyu PK ni Muuwaji ! tunamchelewesha.Dawa yake iko jikoni inachemka, anashauriwa kuleta amani yeye anajibu ngebee subiri sasa wazee wakazi wamshuhulikie.:A S-key:
 
kagame anadhani kukomaa usoni ndiyo kuishinda tanzania unaweza kuwa umekomaa kama jiwe lakini wajanja wakacheza na wewe bila hata kutumia nguvu ndicho kitakachomkuta kagame.
 
Bashar ameua zaidi ya wasyria laki moja,unasema kwanini US wanawapa siraha wapinzani wa Bashar???wewe ulitakaje???aendelee kuua???juhudi nyingi zimefanyika kuleta suluhu lakini Bashar ni jeuri hataki.DRC nako unasema tusiunge mkono vikosi kupelekwa huko kwani tatizo la wakongo litamalizwa na wakongo UNAUHAKIKA NA UNACHOSEMA???HOW??nadhani sanasana unanitafutia ban.

unataka kuniambia Asad ni sawa na mtoto wa mkulima mzee wa wauawe tu!!
 
Kagame is a complete disaster in EA and Central Africa.
 
Ukitafuna na ipo siku na wewe utatafunwa tuu. Kama hukutafunwa na kiumbe kingine basi udongo utakutafuna ukifa.
 
Kuna watu wanasifia sana Kagame kwamba kaijenga Rwanda sana. Sawa. Lakini swali la kujiuliza pesa inatoka wapi? Rwanda wanaiba mali za DRC ndo maanna katu hawataacha kuwaunga mkono M23. Ndo maana hawataki majeshi ta Tanzania DRC maaana tutaona mengi na kupiga kelele za "Mwizi huyo". Hawataki.
 
Kagame anajiandaa kubadilisha katiba 2014 ili kuondoa term limits.
 
mauaji anayoyafanya bashar ni zaidi ya genocide, kwanini wapenda amani wasisaidie ukombozi? kubali ukweli na vua utumwa aliokutwika na slim boy hapa jf. sasa ni mchakamchaka mpaka kigali.

Utumwa ganu huo ninao?
Assad anafanya mauji gani? Assad anapambana na magaidi na vikundi vya watu wachache wenye uroho wa madaraka wanaoungwa mkono na mataifa ya magharibi, wewe unavyofikiri wananchi wote wa Syria wangekuwa hamtaki Assad angekuwepo mpaka leo madarakani?
Msimamo wangu; Siungi mkono anachofanya Kagame wala Siungi mkono wanachofanya Marekani kwa wananchi wa Syria.
 
Kagame naye mburula sana,ameshindwa kujiuliza kwa nini Obama hajatua Kigali akaja Dar, anadhani ataungwa mkono tena kwenye issue yoyote ya maziwa makuu? Aondoe askari wake haraka na kusimamisha misaada kwa hao maharamia wa wananchi wasioluwa na hatia!
Mkuu mbona watu wengi tumejaribu sana kumshauri Mh.Kagame lakini 4 some reason hashauriki!! Yaani stance yake haina tofauti na ya Saddam Hussein alipo vamia Kuwait! Kapewa onyo na Bush Sr kwamba aondoshe majeshi yake Kuwait - lakini Saddam kaleta kiburi na jeuri huku akiendeleza misamihati ya Kiaarabu kusifia Nabukhendereza, Mukharabati na Republican Guard. Bush Sr alikuwa mstaarabu sana kampa Hussein muda wa kutosha aondoshe majeshi yake Kuwait, lakini wapi bwana!! Hussein kaendela kuvuta masharubu yake na jeuri iliyo kubuhu.Kilicho fuata ni mvua ya all-weather submarine na ship-launched Tomahawk cruise missile yenye shabaha 1m C.E.P, ajakaa vizuri A-10 zikafyeka vifaru vyake vyote na APCs, vikosi vya Infantry vikanyukwa na Apache Chopper Gunships, sasa sijui mwenzetu huyu ndio anataka yamkute au? Hivi binadamu anaye tafakali mambo kwa kina anaweza ku-brush off onyo la Merikani na Iternational Community just like that!! Anajiamini nini? Yaani kadiri siku zinavyo kwenda naona mwenzetu habaridiriki au kusikia la mtu ananikumbusha msemo wa KIHAYA (Kushanangana ENYEITE) wenzetu Wajapan uwahita KAMIKAZE. Kwani Mh. Kagame akiwa flexible na kuhepusha majanga/maafa DRC na Rwanda kwenyewe nani atamcheka, Mh. Kagame ni mtu mwenye akili sana - sasa kwa nini anataka kujifungulia a pandora box ya kufunguliwa mashtaka ya kiharifu - hata kama mashtaka ni ya kutunga nchi kama Merikani/UN wana uwezo mkubwa wa kukusema lolote ili upatikane na hatia ufungwe 4life - Je hilo halijui?
 
Back
Top Bottom